Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Walianza kwa mikwara hii!
Mkunjano ukanoga
Mmoja alianza kuomba msamaha baada ya kuona mziki mkubwa
Nilikuwa napita maeneo ya mwenge madukani nikakutana na vijana hawa wakiwa wanapigana
Katika kuuliza uliza tetesi zinasema ni vijana wa mjini maarufu kama (mdananda)walikuwa wakigombea mwanamke pichani hayupo baada ya kuingia mitini.