min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,066
- 166,625
Hahahaha pole sana rafikišItakua sijakukubali
Hahahaha pole sana rafikišItakua sijakukubali
kuwa na upendo basiItakua sijakukubali
Unanipangia?kuwa na upendo basi
Nitamzalia mtoto mmoja wa kikeNyie inafaa muishi pamoja...Ila usizalie watoto wengi huyo
Kwa nini umesema hivyo madam?Nyie inafaa muishi pamoja...Ila usizalie watoto wengi huyo
Mimi nataka watoto wawili, mmoja tayari bado mmojaMmoja hapana...
at least wawili(utasikia unanipangiaš huchelewi)
Usijifanye kua hutaki kumbe unatakašKwa nini umesema hivyo madam?
Nataka ninišUsijifanye kua hutaki kumbe unatakaš
Zinachangamsha tu, lakini kama umeanzisha uzi zinatia moyo kuwa kuna wasomajiKwani faida ya hizi Likes hua ni nini hasa?
Huenda mimi nipo nyuma ya muda au muda ndio upo nyuma yangu.
Ulinitia wewe?mimi si najua utakuwa na mimba changa tu
Thanks mkuu kwa haya maelezo.Zinachangamsha tu, lakini kama umeanzisha uzi zinatia moyo kuwa kuna wasomaji
UnanichoshaNataka niniš