raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,866
- 36,990
Hapana mi mtu 🧍♂️Huyu nadhani ni roboti
Hapana mi mtu 🧍♂️Huyu nadhani ni roboti
HaiwezekaniHapana mi mtu 🧍♂️
raraa reree 😂😂, huyu jamaa ni robot.Watoa likes wawe wanapewa likes nyingi.Siyo mtoa likes unakuta comment yake iko na like moja😳🙄....Jitahidini members...kuoneshana upendo siyo gharama.
Nimewasemea eti!?🥴
Hapana mimi ni mtu 🧍♂️raraa reree 😂😂, huyu jamaa ni robot.
Mimi mbona sitoi likes hovyo! Hata wewe sijawahi kukupa