Wanajua umeingia wapi ila hawajui ume fanya nini, wanajua umeingia fb ila hawajui umeangalia profile ya nani etc. Kama mdau alivyosema hapo juu siku hizi website za kisasa zina encryption ambayo I nabadilisha data mtu wa kati asiweze kuzichungulia.Hawa so called ISP ni kuna namna wakitaka kuchunguza wanaweza kuwa wana access ya kuona nini tunaperuzi wakati tunatumia huduma ya internet wanayotoa ? Au wataona tu website husika uliyotembelea bila kufaham contents zipi ulifatilia?
Hapa nimeelewa, ila sasa inamaana katika huu ulimwengu wa technology hamna permanent encrypted code? Yani kila code inayoundwa ni watu wakituliza kichwa wanaweza itafutia bypass au namna ya kuivunja si ndio ?Wanajua umeingia wapi ila hawajui ume fanya nini, wanajua umeingia fb ila hawajui umeangalia profile ya nani etc. Kama mdau alivyosema hapo juu siku hizi website za kisasa zina encryption ambayo I nabadilisha data mtu wa kati asiweze kuzichungulia.
Sema inategemea pia mtu anazitaka hizo data zako kwa kiasi gani, maana hizo encryption pia zinafunguliwa mtu akiwa serious.
YAP.Hapa nimeelewa, ila sasa inamaana katika huu ulimwengu wa technology hamna permanent encrypted code? Yani kila code inayoundwa ni watu wakituliza kichwa wanaweza itafutia bypass au namna ya kuivunja si ndio ?