Mkuu ndio maana kuna vyeo vingine hata safari zako zinaratibiwa sio kwenda popote unapotaka usalama watakwambia hapafai na inabidi utii,vivyo hivyo hutakiwi kusema chochote tu ilimradi kufurahisha genge sio sawa kwa nafasi yake,wewe umewahi kuwaambia hata rafiki zako tu kuwa wewe ni mwehu?? japo kwa kutania tu ??tuanzie hapo.CHIZI ni msemo tu wa KISIASA ili kupongeza chimvi ya kufurahisha watu.Hakuwa na maana kama hiyo uliyoitaja.
Siasa pia ni lazinma UCHEKESHE watu. usiwe boring.Nafikiri umenipata mkuu.