Wateule wa Rais Magufuli tuondoleeni aibu hii

Ukoo wa kambale huu....wakubwa na watoto wote wana sharubu. Pengine wanaiga style ya baba yao? Nakumbuka kipindi cha "Mchonga" viongozi wengi walijaribu kuiga (bila mafanikio?) sauti na hata namna ya uongeaji. Ni mapito tu.
kina Mwakawago, wewe kweli muhenga!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
kwa hiyo tatizo ni kamera siyo kama watakuwa wanatukanana sirini bila sisi kujua nadhani itakuwa poa siyo
 
Ninapoandika uzi huu sisemi kwamba ni WATEULE wote wa rais wana tabia hii ambayo nitaielelza hapa chini. Ila ni BAADHI yao hawajui kabisa ETHICS za KIUTUMISHI.Na wanafanya kama vile mwalimu na mwanafunzi wa shule ya msingi.

.Sina maana ya kudharau Walimu wa Msingi bali ni mfano tu kuwa wanafunzi hao huwa wangali ni wadogo chini ya miaka 18 na wakati mwingine hukemewa na walaim iili baadaye maishani wawe watu responsible.

Kumekuwa sasa ni kama kawaida MTEULE na MTEULE wakijibizana ama KUFOKEANA mbele ya vyombo vya habari. Hili HALIKUBALIKI kabisa na ni kuvunja MAADILI ya kiutumishi.

Juzi juzi mwingine KAMZABA makofi mtumishi mwenzake.
Mwingine naye kamjibu mteule mwenzake kupitia vyombo vya habari kwamba HAKUBALIANI naye.

DC mwingine Arumeru naye kamfokea DED, tena mbele ya RC.Na badala RCkumchuliahuyo DC hatua za kinidhamu yeye anabaki akishangaa na kutabasamu!!
Sasa jamani mchezokama huu ukiruhusiwa uendelee tunaelekea wapi??

This is unacceptable in a modern society more so kwa watumishi SERIKALI waliopewa DHAMANA ya kuwatumikia wananchi.
Na zaidi ya hayo yote WOTE WANAITUMIKIA
serikali moja na Rais mmoja aliyewateua hivyo ni kusemea. "WOTE ni WATEULIWA" Regardlelss of the pecking order.

Kama kuna KOSA limetokea basi MECHANISMS ZA KIUTAWALA zitumike ndani ya PAZIA pasipo sisi raia kujua chochote kinachoendelea..
KUTATUA kwa KUMFOKEA ama KUMLAUMU mtumishi mwenzako HADHARANI mbele ya WANANCHI hilo si nzuri na Iinatutia AIBU kama Watanzania na serikali kwa ujumla
Tafadhali tuondoleeni AIBU hii!!!.

Sisi kama raia basi tunabaki tukinashangaa. Kwani neno collective responsibility liko wapi AMA KUNA MGAWANYIKO?
Tanzania ya Mfalme Jiwe Kichaa.
 
DED ana mdindia DC au RC hata Waziri kisa tu na yeye kateuliwa na Rais so hawezi kuguswa na mtu except alomteua.....JK hakuwa mjinga kudeliget teuzi za MaDED kwa TAMISEMI.
 
Hakuna kichaa anayeona aibu, wengine wameteuliwa sababu ni vichaa waache waonyeshe ubora wao.

Story za zamani milembe ni ile umechorwa mlango na vichaa wakaambiwa hoya kila mtu asepe acha wauane kupita mlango uliochorwa sasa mwengine kanyuuti kwa mbaali Dr. akamuuliza we vipi ili aone labda huyu aliyobaki kapona kudadadeki yeye akajibu angalia vichaa hao hawana akili hata moja wanagombania kutoka wakati funguo za mlango huo nimetulia nazo tu hapa.

Sasa wateule wa awamu hii kila mmoja anataka kumjurisha Dr. kwamba yeye yuko mzima aruhusiwe kwenda home kumbe ndio wanaua kabisa.
 
DED ana mdindia DC au RC hata Waziri kisa tu na yeye kateuliwa na Rais so hawezi kuguswa na mtu except alomteua.....JK hakuwa mjinga kudeliget teuzi za MaDED kwa TAMISEMI.
Inahitajika hali hiyo kuwa revisited ili kupunguza VIBURI vya wengine.
 
Kukuongezea tu.
By the way Are you among a few leaders RESPONSIBLE for such unbecoming behaviors in our society?
If so kindly please CHANGE for the better.. For someone to be called a leader has to be PATIENT and some sense of decorum in all his undertakings!!!!
Naona umejibu au umeongezea usichokielewa, anzia maoni yangu ya mwanzo.
 
Labda wanaiataji semina.
MANAKE ata mwenye basic knowledge ya masuala ya utawala hawezi fanya baadhi ya mambo ambayo baadhi wanafanya.
Labda with time watajifunza
 
Ninapoandika uzi huu sisemi kwamba ni WATEULE wote wa rais wana tabia hii ambayo nitaielelza hapa chini. Ila ni BAADHI yao hawajui kabisa ETHICS za KIUTUMISHI.Na wanafanya kama vile mwalimu na mwanafunzi wa shule ya msingi.

.Sina maana ya kudharau Walimu wa Msingi bali ni mfano tu kuwa wanafunzi hao huwa wangali ni wadogo chini ya miaka 18 na wakati mwingine hukemewa na walaim iili baadaye maishani wawe watu responsible.

Kumekuwa sasa ni kama kawaida MTEULE na MTEULE wakijibizana ama KUFOKEANA mbele ya vyombo vya habari. Hili HALIKUBALIKI kabisa na ni kuvunja MAADILI ya kiutumishi.

Juzi juzi mwingine KAMZABA makofi mtumishi mwenzake.
Mwingine naye kamjibu mteule mwenzake kupitia vyombo vya habari kwamba HAKUBALIANI naye.

DC mwingine Arumeru naye kamfokea DED, tena mbele ya RC.Na badala RCkumchuliahuyo DC hatua za kinidhamu yeye anabaki akishangaa na kutabasamu!!
Sasa jamani mchezokama huu ukiruhusiwa uendelee tunaelekea wapi??

This is unacceptable in a modern society more so kwa watumishi SERIKALI waliopewa DHAMANA ya kuwatumikia wananchi.
Na zaidi ya hayo yote WOTE WANAITUMIKIA
serikali moja na Rais mmoja aliyewateua hivyo ni kusemea. "WOTE ni WATEULIWA" Regardlelss of the pecking order.

Kama kuna KOSA limetokea basi MECHANISMS ZA KIUTAWALA zitumike ndani ya PAZIA pasipo sisi raia kujua chochote kinachoendelea..
KUTATUA kwa KUMFOKEA ama KUMLAUMU mtumishi mwenzako HADHARANI mbele ya WANANCHI hilo si nzuri na Iinatutia AIBU kama Watanzania na serikali kwa ujumla
Tafadhali tuondoleeni AIBU hii!!!.

Sisi kama raia basi tunabaki tukinashangaa. Kwani neno collective responsibility liko wapi AMA KUNA MGAWANYIKO?
Hii awamu asilimia kubwa wanahitaji hudumu ya mirembe,mwenyekiti wao alisema yeye ni kichaa
 
Si kweli kuwa mkuu alikuwa akiwa na maana ya "UKICHAA" kama tunavyoujua bali kwa tafsiri yangu alikuwa na maana kuwa "HAOGOPI"Na ni mtu wa KUTHUBUTU kwa linalowashinda wengine..
Hawa wengine wana stress za o tu na kutukujua maadili kama viongozi.
 
Back
Top Bottom