Watetezi wa Haki za Binadamu Nchini Kenya wakamatwa nje ya Ubalozi wa Uganda

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Watetezi wa haki za binadamu wanne wa Kenya wamekamatwa nje ya ubalozi wa Uganda jijini Nairobi asubuhi muda mfupi kabla ya kuwasilisha taarifa yao kwa vyombo vya habari kuhusiana na ukatili wa polisi dhidi ya upinzani nchini Uganda.

Wanaharakati hao ambao kwa sasa wanashikiliwa kwa ajili ya kuhojiwa na polisi ni pamoja na Mkurugenzi wa Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Haki Afrika Hussein Khalid pamoja na mwandishi wa habari Yassah Musa.

Mtetezi wa haki za binadamu na Mkurugenzi wa Haki Afrika -Hussein Khalid akiwa amelala chini mbele ya polisiImage caption: Mtetezi wa haki za binadamu na Mkurugenzi wa Haki Afrika -Hussein Khalid akiwa amelala chini mbele ya polisi.

1610536170993.png

1610536183494.png

1610536203194.png
 
Kwan hapo Kenya police wanavaa nguo gani na jeshi wanavaa unform zipi?
 
Eti "YESTERDAY WAS TANZANIA..." hebu watuache kabisa! Halafu sisi sio wenzao kivileeee💣💥
 
Back
Top Bottom