Water supply with impurities

josam

JF-Expert Member
Nov 22, 2011
2,241
1,031
Wadau habari ya sikukuu?

Katika eneo ninalo ishi hapa jiji pendwa, kwa majuma tofauti tofauti, Mamlaka ya maji DAWASA inasupply maji ambayo siyo meupe (kumbuka maji hayana rangi). Tatizo ni nini? Kwa vyovyote muda wa maji kujichuja utakuwa ama hautoshi ama kuna uchafuzi wa maji kwenye miundombinu (bomba kutoboka). Settlement time ni kigezo muhimu katika hatua za usafishaji maji kabla ya kupekwa kwa mtumia.

Asante.
 
DAWASA wana namba za huduma kwa wateja. Wao watakupa majibu sahihi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom