engine za yamaha hatuna. Tulikuwa nazo engine za Honda ambazo kwasasa hatuna stock tunategemea mwezi wa 9 zitakuja.Boss hamna engine za bot yamaha nipe size na bei km mnazo offisini....
Hio sio Tatizo, water pump na generator zetu zina perform vizuri sana na zinadumu muda mrefu. isitoshe bidhaa hizi tumekuwa tukiuza kwa miaka mingi na tumeuza kwa wadau wetu wa serikalini na maeneo mengi na mpaka sasa zinatambulika na wadau wengi.
Mashine za kuoshea magari mnazo?KWA WALE WADAU WANAOTAFUTA HONDA GENERATOR YA KV 5.5 BADO ZIPO TUNAZO ZIMEBAKI CHACHE WASILIANA NAMI AU FIKA OFISI YETU YA MSASANI KWA MAONGEZI ZAIDI.
Hatuna Bosi. cheki kariakoo gerezani.Mashine za kuoshea magari mnazo?
water pump hizi zinatengenezwa na kampuni ya Honda sundiro kutoka China. kipo under license yaani chini ya usimamizi wa Honda Japan. ni water pump genuine na origino na ina ubora na quality.Hiyo water Pump... ni Genuine Honda orijino ya japan? au ni China product?
-Kaveli-
water pump hizi zinatengenezwa na kampuni ya Honda sundiro kutoka China. kipo under license yaani chini ya usimamizi wa Honda Japan. ni water pump genuine na origino na ina ubora na quality.
chukulia mfano wa kampuni ya simu samsung. Samsung ni ya wakorea. lakini kuna viwanda china vinatengeneza samsung na kuuza Africa. simu za samsung zinazotengenezwa huko china viko under licence kutoka samsung ya korea na simu wanazotengeneza zina ubora na quality ile ile ya kutoka korea.
kwahiyo sio kweli kwamba kila bidhaa inayotoka china ni feki jamani.
kuna elemax na kingmax zote ziko vizuri na utapata kwa bei nafuu. tembelea maduka ya kariakoo au tembelea maduka ya posta, mitaa ya samora avenue.Ahsante sana Mkuu jokielias kwa maelezo murua.
Kwa hizi water pump za kichina, hizi ambazo bei zake ni around Tsh 300,000 (Tsh laki tatu)... brand gani would you recommend? kwa kuzingatia ahueni ya quality na economy fuel consumption.
Ni kwa ajili ya kufanya kilimo cha umwagiliaji shamba la ekari 3.
-Kaveli-
kuna elemax na kingmax zote ziko vizuri na utapata kwa bei nafuu. tembelea maduka ya kariakoo au tembelea maduka ya posta, mitaa ya samora avenue.
Brush cutter ndio bei zake mkuu, kwa hapa bongo unganisha import charges, Kulipa ushuru, Kulipa TRA, kumlipa mtu wa sales nk. lazima bidhaa itakuwa expensive kwa hapa bongo kuliko nchi zingine.Bongo Vitu ghali Sana... Hiyo unayoiita brush cutter, huku north America inaitwa trimmer.. Inauzwa kwa $200.00 tu. Vipi unauza na zile kamba zake za kukatia?