Water Pump, Generator na Brush cutter zinauzwa

Water Pump, Generator na Brush cutter zinauzwa

Nipigie simu 0717518359 au 0689866100. tumalize biashara. au nitumie namba yako ya simu. nikupigie.
Weka bei hapahapa,
Nina laki6, naweza kupata pump ya aina gani kwako??
 
Weka bei hapahapa,
Nina laki6, naweza kupata pump ya aina gani kwako??
Shark, Kuna aina mbili za pampu. kuna pampu za umeme na kuna pampu za petroli.
sisi tunauza pampu za aina moja ya inch 3 na zote zinatumia petroli.
Sasa kama wewe unatafuta pampu za umeme, Hio sisi hatuna. unaweza kwenda merry water ya victoria au Davis shirtliff ya kamata kariakoo. pale utapata pampu za umeme.
kama uko interested na pampu zetu za Honda. Bei punguzo nakutumia kwenye inbox yako.
 
Kwani nimetaja ya Petrol au ya Umeme?? Usinilishe maneno mkuu, mi nimekuambia nataka ya laki 6
 
Kwani nimetaja ya Petrol au ya Umeme?? Usinilishe maneno mkuu, mi nimekuambia nataka ya laki 6
laki 6 ngumu mkuu. hizo bei nilizoweka hapo ndio bei nilizopewa na kampuni. Tembelea ofisi zetu za Quality motors ltd ya Tazara, pugu road, halafu omba pampu ya laki 6, kama watakuuzia pampu kwa laki 6 nipigie simu ili nije.
Discount nimeshakupa kwenye inbox yako.
 
FA2500 HONDA KV 2.2 UNATEMBEZA NA MATAIRI YAKE BILA SHIDA.
FA2500- 5 JPG.jpg
 
Mkuu mwez wa 8 naanza project zangu ntakutafuta nadhani hizi pump zitanifaa
 
Mkuu mwez wa 8 naanza project zangu ntakutafuta nadhani hizi pump zitanifaa
kama inawezekana ungeanza kwa kuwekeza ili nikuwekee oda yako mapema. Saba Saba ikianza pampu huwa zinauzwa zote mpaka zinaisha. kusubiri Stock mpya inachukua muda kuingia.
 
genereta kv 1. safi na imara na rahisi kubeba mkononi.
honda EG1000.jpg
 
Habari wadau, Tuna mashine mpya za water pump, Generator, na brush cutter zote kutoka kampuni ya Honda. kwa wale wadau ambao walikuwa wanazitafuta mali hizi basi nawaambia zimekuja tena na zipo stock. Kwa wadau wa mikoani tunawasafirishia mzigo (gharama utalipia)

1-Water Pump Honda Wb30xh size inch 3 inatumia petrol- Bei MIl 1.1 (warranty mwaka 1)
2-Brush cutter Honda Umk435, mashine ya kukata nyasi- Bei Mil 2 (warranty mwaka 1)
3-Generator EG 1000 Honda, k.v.1- Bei Mil 1.3 (warranty mwaka 1)
4-Generator FA2500 Honda k.v 2.2 - Bei Mil 1.4 (warranty mwaka 1)
5-Generator EU20i Honda k.v.2 silent generator - Bei Mil 3.5 (warranty mwaka 1)
6-Generator EG6500 CXS K.v. 5.5. - Bei Mil 5.1 (warranty mwaka 1)

SIMU - 0689866100, 0717518359 AU FIKA OFISINI KWETU MSASANI,DAR QUALITY MOTORS.

View attachment 355998 View attachment 355999 View attachment 356001 View attachment 356001 View attachment 356002 View attachment 356002 View attachment 356003 View attachment 356004 View attachment 356005
Mkuu nataka moja ila mbona niliambiws ni laki mbili?
 
Mkuu nataka moja ila mbona niliambiws ni laki mbili?
hatuna pampu za laki 2 na hata genereta za laki mbilli hatuna. labda ukanunue iliyotumika kwa mtu ndio utapata.
msaada mwingine unaweza kwenda ilala boma kwa farida utapata doyin hp 1.5 kwa laki nne tu. na hizo ni pampu za umeme.
 
kwa wale waitaj wa line za mpesa ntafute ninazo nchek 0718192437
 
Mimi nilkuwa naulizia pump za kumwagilia kama money maker kwa hapa Dar zinapatikana wapi na bei yake!
 
Back
Top Bottom