Mkuu si uvaliane na rambo kama zamani watu walivyokuwa wanavaa sox kadhaa ili buti likae sawa mguuniTunaomba mtusaidie na sie wenye vibamiya mtutengeze saizi zetu maana inatulazim kupiga kavu kwakua saizi zetu hakuna mie ndio mpaka nafungaga na balabendi ili nipige gem
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hapo yani tunatofautiana binadamu wengine zinabana mpaka unahisi msuli unapasukaMmmh hivi huwa zinapwaya?
Mbona wengi wanalalama zinawabana?
love thé love or hâte thé love.....
Mie ndio nimeumbwa kibamiya yani kelo kwenye condomNdo hapo yani tunatofautiana binadamu wengine zinabana mpaka unahisi msuli unapasuka
zile ni free size....kama huyu bwana hazimtoshi basi ana kidoti na si kibamiaWakipunguza pale c ztauma? Mana zinabana
Siyo RC Bashite?Iyo kero mpelekee mbunge wako aiwasilishe bungeni
Pole sana mkuuTunaomba mtusaidie na sie wenye vibamiya mtutengeze saizi zetu maana inatulazim kupiga kavu kwakua saizi zetu hakuna mie ndio mpaka nafungaga na balabendi ili nipige gem
Sent using Jamii Forums mobile app