Watengeneza historia ya nchi...

SupuyaPweza

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
914
471
bill and hillary.jpg
 
Jazia nyama hii stori kaka!
Hawa ni Bill Clinton na Mkewe Hillary wakiwa wamekutana miaka ya 1971... Wanaelekea kuwa viongozi wa juu wa Marekani na kuweka historia ya nchi hiyo kwa mtu na mkewe kuingia ikulu ya white house... Swali ni kuwa hali kama hii inaweza kujitokeza kwa first lady yeyote wa Tz kuingia ikulu ya magogoni/chamwino wakati mumewe akiwa hai?...
 
Kwa hizi sacos zao wanazo anzisha waumezao wakiwa Ikulu... sizani!
 
Back
Top Bottom