Boniphace Kichonge JF-Expert Member Jul 31, 2017 1,606 1,956 Feb 21, 2020 #1 Wadau. Watendaji Wakuu Wa CCM Ziarani Mikoani. Dkt Bashiru Ally ameanza Ziara ya Siku 3 Mtwara. Humphrey Polepole ameanza Ziara ya Siku tisa Kisiwani Pemba.
Wadau. Watendaji Wakuu Wa CCM Ziarani Mikoani. Dkt Bashiru Ally ameanza Ziara ya Siku 3 Mtwara. Humphrey Polepole ameanza Ziara ya Siku tisa Kisiwani Pemba.
The Mack JF-Expert Member May 25, 2017 239 247 Feb 21, 2020 #2 Wameanza kutapatapa sasa Waambie watapata tabu sana Sent from my iPhone using JamiiForums
Baba Ndumbwi JF-Expert Member Jun 30, 2013 430 689 Feb 21, 2020 #3 Hivi kwann hawa wanapofanya ziara huwa hatusikii taarifa za kiintelijensia kuhusu uvunjifu wa amani au ccm ndio wanahusika kuvunja amani kwenye mikutano ya vyama vingine? Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwann hawa wanapofanya ziara huwa hatusikii taarifa za kiintelijensia kuhusu uvunjifu wa amani au ccm ndio wanahusika kuvunja amani kwenye mikutano ya vyama vingine? Sent using Jamii Forums mobile app