Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 857
- 2,289
Mtu ametekwa baada ya kumsema kiongozi fulani au kukosoa jambo fulani. Halafu anatekwa unasema waliomteka hawajulikani. Kweli?
Leo ukigombana na mtu ukamtishia maisha anakutipoti polisi na ikitokea amepata madhata kwa namna yoyote polisi wataanza na wewe.
Sasa hili suala la mtu anamkosoa mtu fulani halafu anatekwa mnasemaje watekaji hawajulikani.
Wanaoteka raia ni hao wanaosemwa na hao raia.
Mimi ukiniuliza mtekaji ni nani ntakwambia msajili wa vyama maana baada ya gwajima kukemea utekaji alimfutia usajili wa Makanisa yake.
So hata alimsema Kiongozi yeyote kisha akatekwa basi mtekaji ni aliesemwa.