Wateja wasio wastaarabu, chanzo cha customer care mbaya

Wateja wasio wastaarabu, chanzo cha customer care mbaya

Kumekua na malalamiko mengi sana kuhusu customer care Mbaya katika huduma mbali mbali nchini.

mara nyingi watoa huduma na wafanya biashara wanaangushiwa sana lawama kuwa wengi wao hawana customer care nzuri,

Hii ni kweli kwa kiasi flani,lakini kwa kiasi kikubwa baadhi ya wateja wasio wataarabu wanachangia sana customer care kuwa mbaya

Kama haujawahi kutoa huduma au kufanya biashara hauwezi kuelewa hili,

Wateja wengi wa kibongo sio wastaarabu,

Ustaarabu ni pamoja na kufuata uratibu ambao mtu amejiwekea kwenye office yake au kazini kwake.

Wabongo wengi sio wastaarabu,mtu anakuja ofisini huku ana utaratibu wake wa kuhudumiwa,ivi kweli kwa akili ya kawaida kila mteja akitaka ahadumiwe kwa utaratibu wake kutakuwa na office kweli?

Kila mteja akitaka ahudumiwe kwa style ya "unajua mimi nani" Kutakuwa na faida kweli?

Unapoenda ofisini au kazini kwa mtu,weka vyeo mfukoni,weka status yako pembeni,fuata utaratibu wa ofisi ya mtu,hudumiwa alafu endelea na maisha yako-huo ndio ustaarabu

Watu wanaweka utaratibu ofisini au makazini kwao ili kulinda faida na maslahi yao biashara zao au huduma zao.

Sasa wewe unakuja ofisini au kazini kwa mtu unavunja utaratibu wa namna ya kuhudumiwa alafu bado unataka mhudumu asi-react na aendelee kukuchekea tu 'eti' ndio customercare nzuri.

Yaani ili uonekane una customer care nzuri bongo basi kwanza ukubali mambo mawili:

1).ukubali kupoteza amani ya moyo wako
2).ukubali kupata hasara

Ukikubali hayo ndio utaonekana una customer care nzuri,
Sasa hiyo sio nzuri,tubadilike ndugu zangu

Whats your point Chief?
Tunajua Customer Care ya ofisi za Umma nyingi ni hovyo, iwe physically au kupiga simu! At least private entities.

May be tuambie unamaanisha ofisi zipi maana andiko lako ni kama kuna kitu kimekukwaza otherwise kwa nchi yetu issue za customer care ziko very poor, ukiacha few cases.

Pia ni wanachi au wateja wachache ambao ni wakorofi ila wengi wana react baada ya kusababishiwa makwazo na watoa huduma!
 
Kumekua na malalamiko mengi sana kuhusu customer care Mbaya katika huduma mbali mbali nchini.

mara nyingi watoa huduma na wafanya biashara wanaangushiwa sana lawama kuwa wengi wao hawana customer care nzuri...
Umechemka aisee
 
Kumekua na malalamiko mengi sana kuhusu customer care Mbaya katika huduma mbali mbali nchini.

Mara nyingi watoa huduma na wafanya biashara wanaangushiwa sana lawama kuwa wengi wao hawana customer care nzuri.

Hii ni kweli kwa kiasi flani,lakini kwa kiasi kikubwa baadhi ya wateja wasio wataarabu wanachangia sana customer care kuwa mbaya.

Kama haujawahi kutoa huduma au kufanya biashara hauwezi kuelewa hili,

Wateja wengi wa kibongo sio wastaarabu,

Ustaarabu ni pamoja na kufuata uratibu ambao mtu amejiwekea kwenye office yake au kazini kwake.

Wabongo wengi sio wastaarabu,mtu anakuja ofisini huku ana utaratibu wake wa kuhudumiwa,ivi kweli kwa akili ya kawaida kila mteja akitaka ahadumiwe kwa utaratibu wake kutakuwa na office kweli?

Kila mteja akitaka ahudumiwe kwa style ya "unajua mimi nani" Kutakuwa na faida kweli?

Unapoenda ofisini au kazini kwa mtu, weka vyeo mfukoni,weka status yako pembeni,fuata utaratibu wa ofisi ya mtu,hudumiwa alafu endelea na maisha yako-huo ndio ustaarabu

Watu wanaweka utaratibu ofisini au makazini kwao ili kulinda faida na maslahi yao biashara zao au huduma zao.

Sasa wewe unakuja ofisini au kazini kwa mtu unavunja utaratibu wa namna ya kuhudumiwa alafu bado unataka mhudumu asi-react na aendelee kukuchekea tu 'eti' ndio customercare nzuri.

Yaani ili uonekane una customer care nzuri bongo basi kwanza ukubali mambo mawili:

1)Ukubali kupoteza amani ya moyo wako
2).Ukubali kupata hasara

Ukikubali hayo ndio utaonekana una customer care nzuri,

Sasa hiyo sio nzuri, tubadilike ndugu zangu
wauzaji walio wengi awajui jinsi ya kuhudumia wateja wao mfano unaenda nunukitu au ofiisi fulani unamkuta mtu yuko na simu anaonge unasubili kalibia nusu saa au anachati

tena anakuona lakini akujali yeye nasimu tu akikujali anataka usimuulize sana hili awai kuchati anaisi unamchelewesha baadhi urudisha chenzi zaidi kwa sababu mawazo yete kwenye simu

wengine hasa hawa maasikali mfano pale kawe wanalazimisha kukopeshwa ukimkatalia nongwa vitisho tutaona iko siku utaigia kwe anga zangu kisa mjeda ukimkopesa ataki umdai alipe kwa mda wake au akudhulumu huo wote

ushamba mtu anadhini hiyo kazi ataianya milele mshamba limbukeni ajui kuwa kuna kusitafu au kufukuzwa kazi yeye udhani hiyo kazi karithi hovioooooo
 
Hapana, hio ni taaluma yako na 'naamini' umekua trained kushughulika na Kila aina ya mtu, Sasa unapoacha kutimiza taaluma Yako kisa eti "Mteja" mkorofi then taaluma yako haijakusaidia au hujasoma kabisa umeokotwa na kupewa kazi.

Na hiki ndio kinachotokea Tanzania, wanachukuliwa TU jobless mtaani unawapiga brush jinsi ya kutumia simu then unawapa kazi! Hapo ndio shida IPO na shida SI kwa Mteja Wala kwa Mtoa huduma.

Fuatilia vile vipindi vya 911 vya Marekani, utasikia customers wanavyoongea ujinga lakini Mtoa huduma bado anasimamia taaluma yake. Tusitafute mchawi, mchawi ni mmiliki wa hicho kitengo (Agent) yeye anawaza tu ku maximize profit.
wapo wateja wasumbufu washamba malibukeni mfano unaenda kununua kitu unaja cheo chako hili ukopeshwe kiloba cha sembe usipo kopeshwa unajenga bifu unakuwa tayali mtu kumchomekea chochote hili akamatwa atolewe hela huo ni ushamba
 
Hakuna uhalisia. Watoa huduma hawajui wajibu wao, na hii ni kutokana na kupachikana tu bila ya mafunzo. Na pengine malipo madogo yanachangia watu kutokuwa na hamu ya kujituma kutoa huduma.
malipo sio kigezo ushaba ulimbukeni wamuachie nani? na wahudumiwa nao baadhi yao ni washamba kusoma akumtoi mtu kwenye ushamba na ulimbukeni mtu kasoma anathamini simu kuliko mteja
 
Biashara ikiwa mpya hakunaga mteja mmbaya ngoja iaanze kuleta mafanikio 😂😂😂😂Mteja anatolewa nnje na mlinzi eti kisa ameomba apunguziwe anaitwa msumbufu...
 
Nakumbuka wakati flani nilikuwa napitapita kwenye maduka natafuta printer nikaingia kwenye maduka kadhaa ila mwisho nilinunua kwenye duka moja la muhindi.
Unajua kwann yule chalii alikuwa anajua kuuza bidhaa zake mana alinionesha printer kama tatu hivi kila moja ananipa sifa zake ubora wake na ubora wa ufanyaji kazi asee yani anajua thamani ya kila mteja ...
Kwa mfanya biashara kama huyu ni kwamba hakuna mteja mkorofi...
 
Kuna duka niliingia la nguo yule dada nikamwambia nahitaji shati za draft mikono mirefu size xxl naomba zilizopo nichague akaona ninamsumbua,mimi nimeshazoea nikienda duka la nguo kama ni mashati yaletwe yote yaliyopo yenye size niliyosema,huyo muhindi anajua biashara
 
Kweli hawa wenzetu hawana majigambo
kuna watu wanafanya biashara hawataki uulizie kitu anaona labda akikujibu unapo uliza alafu usinunue atakuwa amepata hasara kujujibu.
 
Kweli hawa wenzetu hawana majigambo
kuna watu wanafanya biashara hawataki uulizie kitu anaona labda akikujibu unapo uliza alafu usinunue atakuwa amepata hasara kujujibu.
Muhindi ni muhindi tu kaka,mwaka jana nilifika duka moja la electronic nikakuta wahusika wote wapo busy nikasimama tu then ndio wakanisemesha, nilipowauliza bei ya item niliyotaka walijibu mkato sana waswahili wenzetu,nikaenda kwa muhindi
 
Huu uzi hauko sawa.
Kwanza mteja huwa hakosei. Mfano tuseme ofisi yako ni mgahawa, wewe umejiwekea utaratibu wa mteja kunawa kwenye ndoo yenye koki. Mteja anakuja anakaa anaagiza chakula unawekea Halafu mteja anakwambia niletee maji ya kunawa eti unakasirika unasema maji si yale pale nje kanawe. Huo sio ukorofi na mimi kama ni mmiliki wa mgahawa nikakuta unapigizana kelele na mteja halafu unaniambia umebana pua “eti hataki kunawa maji nje” Kudadeeki nakutimua hapohapo. Huwezi bishana na mteja kwenye ofisi labda awe hataki kulipa hapo sawa lakini kuhusu huduma.
 
Biashara ikiwa mpya hakunaga mteja mmbaya ngoja iaanze kuleta mafanikio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mteja anatolewa nnje na mlinzi eti kisa ameomba apunguziwe anaitwa msumbufu...

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huu uzi hauko sawa.
Kwanza mteja huwa hakosei. Mfano tuseme ofisi yako ni mgahawa, wewe umejiwekea utaratibu wa mteja kunawa kwenye ndoo yenye koki. Mteja anakuja anakaa anaagiza chakula unawekea Halafu mteja anakwambia niletee maji ya kunawa eti unakasirika unasema maji si yale pale nje kanawe. Huo sio ukorofi na mimi kama ni mmiliki wa mgahawa nikakuta unapigizana kelele na mteja halafu unaniambia umebana pua “eti hataki kunawa maji nje” Kudadeeki nakutimua hapohapo. Huwezi bishana na mteja kwenye ofisi labda awe hataki kulipa hapo sawa lakini kuhusu huduma.
Labda hii ikitokea ndio wataacha nyodo.
 
HOW TO HANDLE DIFFICULT CUSTOMERS

Google hiyo utapata kila kitu kuhusu psychology ya wateja watata
 
Back
Top Bottom