a hope
Senior Member
- Oct 23, 2022
- 163
- 342
Kumekua na malalamiko mengi sana kuhusu customer care Mbaya katika huduma mbali mbali nchini.
Mara nyingi watoa huduma na wafanya biashara wanaangushiwa sana lawama kuwa wengi wao hawana customer care nzuri.
Hii ni kweli kwa kiasi flani,lakini kwa kiasi kikubwa baadhi ya wateja wasio wataarabu wanachangia sana customer care kuwa mbaya.
Kama haujawahi kutoa huduma au kufanya biashara hauwezi kuelewa hili,
Wateja wengi wa kibongo sio wastaarabu,
Ustaarabu ni pamoja na kufuata uratibu ambao mtu amejiwekea kwenye office yake au kazini kwake.
Wabongo wengi sio wastaarabu,mtu anakuja ofisini huku ana utaratibu wake wa kuhudumiwa,ivi kweli kwa akili ya kawaida kila mteja akitaka ahadumiwe kwa utaratibu wake kutakuwa na office kweli?
Kila mteja akitaka ahudumiwe kwa style ya "unajua mimi nani" Kutakuwa na faida kweli?
Unapoenda ofisini au kazini kwa mtu, weka vyeo mfukoni,weka status yako pembeni,fuata utaratibu wa ofisi ya mtu,hudumiwa alafu endelea na maisha yako-huo ndio ustaarabu
Watu wanaweka utaratibu ofisini au makazini kwao ili kulinda faida na maslahi yao biashara zao au huduma zao.
Sasa wewe unakuja ofisini au kazini kwa mtu unavunja utaratibu wa namna ya kuhudumiwa alafu bado unataka mhudumu asi-react na aendelee kukuchekea tu 'eti' ndio customercare nzuri.
Yaani ili uonekane una customer care nzuri bongo basi kwanza ukubali mambo mawili:
1)Ukubali kupoteza amani ya moyo wako
2).Ukubali kupata hasara
Ukikubali hayo ndio utaonekana una customer care nzuri,
Sasa hiyo sio nzuri, tubadilike ndugu zangu