Umeme wenyewe ni adimu zaidi ya mkojo wa kuku.Nunueni majiko ya umeme acheni vitu vya Bure bure
Mkuu kwa umeme upi huo labda ungesema jiko la utambi ,Nunueni majiko ya umeme acheni vitu vya Bure bure

Mihan gas ndio hawahawa Taifa Gas mkuu, walibadilisha jina tu! Kumbe ujanja-ujanja walianza zamani.Kampuni zote Zina ubabaifu nakumbuka nlikuwa natumia Mihan gas mara ya kwanza ikawa inadumu ila kadiri siku zinavyoenda siku zikawa zinapungua ! Nikamwambia wife hizi gesi watakuwa hawaweki kilo SAHIHI
Wale naona bado hawajakaa vizuri sokoni, bado hawajajitangaza vizuri.....Aloo mkihama huko mataifa msijaribu ziwani gesi kule ndo mataputapu
Pole Kwa kuchelewa kujua,Kwa taarifa yako hata oryx wanapiga.Mimi ni miongoni mwa watumiaji wa gesi ya Taifa Gas kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Wiki 4 zilizopita nilienda dukani kununua gesi [kubadilisha mtungi]. Wakati nauinua nikasikia kimiminika [gesi] ikicheza ndani kwa ombwe kubwa.
Kwa kuwa mwenye duka anao mzani [nilimshauri hivyo kufuatia agizo la serikali kuwa wauzaji wa gesib lazima waweke mizani ili wateja wahakiki ujazo] ilibidi niupime pale pale. Huwezi kuamini, kulikuwa na upungufu wa gm 950, yaani karibu kilo nzima! Akanipa mtungi mwingine, nao ukawa umepungua pia! Mtungi wa tatu ndio ukawa sawa.
Wiki iliyopita gesi ikawa imeisha, kwa kuwa sikuwa na pesa ya kutosha ikabidi nichukue mtungi mdogo kabisa, na kwa kuwa imani yangu kwa Taifa Gas ilikuwa imepungua nikaamua kuupima. Amini usiamimini, nao ukawa umepungua! Nikachukua mtungi mwingine, nao ukawa umepungua vilevile hadi nilipopata mtungi wenye uzito sahihi.
Kwa uzoefu huu nawafahamisha wateja wenzangu wa Taifa Gas kuwa makini wanapobadilisha mitungi hiyo. Wito wangu kwa Taifa Gas ni kuwa watutendee haki wateja wao, mwenye duka aliniambia Oryx ndio mitungi ya uhakika, Oryx sio kampuni ka kizalendo, faida yao kwa sehemu kubwa inaenda kwa Wazungu, sasa huyu Mtanzania mwenzetu wa Taifa Gas anavyotufanyia uzalendo unaanza kunishinda.
Vv
Hicho ni kitu kingine, muhimu ni kuwa unaponunua gesi ipime, kama ni kilo 15, pima na uchukue mtungi ambao una-tally na mzani.Pia hio mizani huwa inachezewa, inakuonesha kilo nyingi kumbe imesogezwa mbele
Cheap Brand Wars, mwenye duka aliniambia Oryx ndio mitungi ya uhakika, Oryx sio kampuni ka kizalendo, faida yao kwa sehemu kubwa inaenda kwa Wazungu, sasa huyu Mtanzania mwenzetu wa Taifa Gas anavyotufanyia uzalendo unaanza kunishinda.
Vv
Rostam hajawahi kuwa rahisi hivyo lazima kashirikiana na juha yule kutuumizaMimi ni miongoni mwa watumiaji wa gesi ya Taifa Gas kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Wiki 4 zilizopita nilienda dukani kununua gesi [kubadilisha mtungi]. Wakati nauinua nikasikia kimiminika [gesi] ikicheza ndani kwa ombwe kubwa.
Kwa kuwa mwenye duka anao mzani [nilimshauri hivyo kufuatia agizo la serikali kuwa wauzaji wa gesib lazima waweke mizani ili wateja wahakiki ujazo] ilibidi niupime pale pale. Huwezi kuamini, kulikuwa na upungufu wa gm 950, yaani karibu kilo nzima! Akanipa mtungi mwingine, nao ukawa umepungua pia! Mtungi wa tatu ndio ukawa sawa.
Wiki iliyopita gesi ikawa imeisha, kwa kuwa sikuwa na pesa ya kutosha ikabidi nichukue mtungi mdogo kabisa, na kwa kuwa imani yangu kwa Taifa Gas ilikuwa imepungua nikaamua kuupima. Amini usiamimini, nao ukawa umepungua! Nikachukua mtungi mwingine, nao ukawa umepungua vilevile hadi nilipopata mtungi wenye uzito sahihi.
Kwa uzoefu huu nawafahamisha wateja wenzangu wa Taifa Gas kuwa makini wanapobadilisha mitungi hiyo. Wito wangu kwa Taifa Gas ni kuwa watutendee haki wateja wao, mwenye duka aliniambia Oryx ndio mitungi ya uhakika, Oryx sio kampuni ka kizalendo, faida yao kwa sehemu kubwa inaenda kwa Wazungu, sasa huyu Mtanzania mwenzetu wa Taifa Gas anavyotufanyia uzalendo unaanza kunishinda.
Vv
Hakuna Nia ovu Wala Nini yeye anapoiba Huwa ana Nia njema? Kikubwa awe amesema ukweli tu basi.Hauna conflict of interest kweli mleta mada kwenye Biashara hii?
===
Hii ni tuhuma nzito, na unampaka kazi nzito Meneja masomo wa Taifa gesi. Kubwa kabisa, hii tuhuma ilitakiwa iambatane na ushahidi usiotiliwa shaka.kwa kueleza, ulinunua mitungi hiyo kwa duka la nani, mtaa gani, wilayagani. Pia ungeweka na ushindi wa picha ama video wakati unafanyia matukio yote haya.
Tujiepushe kutoa taarifa bila ushahidi. Na tuache kugombanisha makampuni. Suala la kuitaja Oryx gas moja kwa moja kwa mlengo huu katika uzi huu inaonyesha Nia ovu uliyonayo dhidi ya makampuni haya.
Wale wanaokamua pump za Mafuta kwenye vituo vya mafuta....unakuta bodaboda mida ya saa 6 mpaka 8 usiku wanavizia hayo yaliyokamuliwa na yakiwa yamewekwa kwenye chupa za Maji zilizotumika? Tunawaweka wapi?Shida ya wabongo hawaridhiki na huenda hata hiyo mizani nayo imekeketwa vilevile yaani Kila kona tunabinywa
Mkuu hii Nchi imekaa kihuni amini usiamini. Bora uzima tuWale wanaokamua pump za Mafuta kwenye vituo vya mafuta....unakuta bodaboda mida ya saa 6 mpaka 8 usiku wanavizia hayo yaliyokamuliwa na yakiwa yamewekwa kwenye chupa za Maji zilizotumika? Tunawaweka wapi?
Yaani salama ya kiasi cha mafuta unayonunua vituo vya mafuta ni kutumia "transparent" dumu....! Ukitumia tank la gari ama pikipiki kupigwa mara nyingi kupo pale pale.Mkuu hii Nchi imekaa kihuni amini usiamini. Bora uzima tu
Hii siijuiYaani salama ya kiasi cha mafuta unayonunua vituo vya mafuta ni kutumia "transparent" dumu....! Ukitumia tank la gari ama pikipiki kupigwa mara nyingi kupo pale pale.