Hapana mkuu mi napendekeza jamaaa aanzishe application ambayo itaweza kumfikia mtu popote pale kwani ni watu wengi wamepania sanasisi tulio mkoani huku inabidi muwe mnatutumia voice note ya hiyo radio. Tuamini kama kweli sanaa imezaliwa upya
Wa mikoani angalieni you tubeHongereni wanaume wa dar
Zote mmiliki ni mmoja...hizo frequency zimekaribiana na Mawingu 88.5 na Wasafi 88.9...hhhhaaa
Zinapatikana vyema tu maana band ya fm japan inaishiaga 90.0Wenye magari ya japan hizo frequency mtazipata?