SangaweJr
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 2,967
- 2,631
Bora umeweka kitu tofauti mkuu, hivi mobdro kuna mtu leo hii haifahamu kweli...Zingine nzuri hizi hapa.
2. Live sport tv (GM Soccer TV )
3. sybla apk
4. WSS
5. UKTV &
6. SPORTS TV
Bora umeweka kitu tofauti mkuu, hivi mobdro kuna mtu leo hii haifahamu kweli...Zingine nzuri hizi hapa.
2. Live sport tv (GM Soccer TV )
3. sybla apk
4. WSS
5. UKTV &
6. SPORTS TV
Mimi nilikua siifahamBora umeweka kitu tofauti mkuu, hivi mobdro kuna mtu leo hii haifahamu kweli...
Sio kila mtu anajua kila kitu kama wewe??? Wengine katujulisha piaBora umeweka kitu tofauti mkuu, hivi mobdro kuna mtu leo hii haifahamu kweli...
Sijasema hilo kwa dhumuni kwamba kila mtu anajua bali hii app imesha jadiliwa sana humu.Sio kila mtu anajua kila kitu kama wewe??? Wengine katujulisha pia
Mkubwa ukipata majibu naomba nishitue pliz, nahitaj chanel za bongoKuna ndugu yanu ameniletea android box lake nimuwekee hiyo mobdro,nimeweka na inafanya kazi vizuri tu, channels nyingi anapata kama za mipira nk, ila sijui wapi na vipi pa kwenda kupata channels za ki afrika, siyo tu za bongo bali hata pia za mataifa mengine ya kiafrika. Yeye ameniambia aliona kwa rafiki yake anapata nyingi tu za west africa na east africa. Mimi siyo mtaalamu sana wa kutumia hiyo mobdro. Msaada jamani.
Mkuu huyo atakuwa aliona App inaitwa KODI...Mkubwa ukipata majibu naomba nishitue pliz, nahitaj chanel za bongo
Hilo file badilisha .txt na weka .m3uMkubwa ukipata majibu naomba nishitue pliz, nahitaj chanel za bongo
Siyo Kodi mkuu, hiyo naijua sana, ni mobdro ndiyo aliiona, kwa maana kodi anayo tayari siku nyingi tu.Mkuu huyo atakuwa aliona App inaitwa KODI...
Pitia taratibu hii post
Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)
Ok labda afanyie kazi comment yako ya juu hapo.Siyo Kodi mkuu, hiyo naijua sana, ni mobdro ndiyo aliiona, kwa maana kodi anayo tayari siku nyingi tu.
Then what next baada kufanya ulivyo elekeza?Hilo file badilisha .txt na weka .m3u
channels za kibong an nyingine za ki africa.
Asante mkubwa kwa msaada,Hilo file badilisha .txt na weka .m3u
channels za kibong an nyingine za ki africa.
iweke kwenye vlc player au kama unatumia kodi, basi iweke na utapata channels.Then what next baada kufanya ulivyo elekeza?
Sijasema hilo kwa dhumuni kwamba kila mtu anajua bali hii app imesha jadiliwa sana humu.
Ikiwemo na IPTV, SIMU TV, NA KODI.