Watch Tv channels on your android smartphone

Kuna ndugu yangu ameniletea android box lake nimuwekee hiyo mobdro,nimeweka na inafanya kazi vizuri tu, channels nyingi anapata kama za mipira nk, ila sijui wapi na vipi pa kwenda kupata channels za ki afrika, siyo tu za bongo bali hata pia za mataifa mengine ya kiafrika. Yeye ameniambia aliona kwa rafiki yake anapata nyingi tu za west africa na east africa. Mimi siyo mtaalamu sana wa kutumia hiyo mobdro. Msaada jamani.
 
Kuna ndugu yanu ameniletea android box lake nimuwekee hiyo mobdro,nimeweka na inafanya kazi vizuri tu, channels nyingi anapata kama za mipira nk, ila sijui wapi na vipi pa kwenda kupata channels za ki afrika, siyo tu za bongo bali hata pia za mataifa mengine ya kiafrika. Yeye ameniambia aliona kwa rafiki yake anapata nyingi tu za west africa na east africa. Mimi siyo mtaalamu sana wa kutumia hiyo mobdro. Msaada jamani.
Mkubwa ukipata majibu naomba nishitue pliz, nahitaj chanel za bongo
 
Hilo file badilisha .txt na weka .m3u
channels za kibong an nyingine za ki africa.
Asante mkubwa kwa msaada,
lakini inaonekana hilo faili ni kwa ajili ya pc peke yake, vp kuhusu simu za mkononi
 
Sijasema hilo kwa dhumuni kwamba kila mtu anajua bali hii app imesha jadiliwa sana humu.
Ikiwemo na IPTV, SIMU TV, NA KODI.

Aliyekuwepo jana sio aliyepo leo ndugu...!

This is JamiiForums.

Thanks.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom