Watch Tv channels on your android smartphone

SangaweJr

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Messages
2,586
Points
2,000

SangaweJr

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2012
2,586 2,000
Aliyekuwepo jana sio aliyepo leo ndugu...!

This is JamiiForums.

Thanks.
Hii ishu ndiyo inayofanya members wengi kutochangia mada mbali mbali humu, sababu ipo option ya ku search kama jambo lilishajadiliwa, mtu anarudia tena kulipost, sawa anataka kujua lkn cha kwanza hebu tafuta kwanza je hili ninalotaka kuuliza halijawahi kujadiliwa humu, ndio maana post nyingi hazina wachangiaji na pia kuna post hii
Tech & Gadgets: Jukwaa linavyozidi kupoteza Threads zenye mvuto na old members 2015
Ina nasibu sana post kama hizi.
 
KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Messages
6,187
Points
2,000

KIOO

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2013
6,187 2,000

Sio kila mtu anajua kila kitu ndugu, mwengine hata ku-search hajui unakubaliana na hilo...?.

Hivyo, tuwavumilie tu ndugu.

Asante.
 
KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Messages
6,187
Points
2,000

KIOO

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2013
6,187 2,000
Okay hatushindani
You quote me wrong buddy. Ni wapi niliposema kuwa tunashindana ndugu...?.

bali tunaelekezana na ndio desturi ya wanajukwaa hili.
Na ndicho nilichofanya (kukuelekeza) kuwa aliyekuwepo jana sio aliyopo leo ndugu tuwavumilie tu.

Ukasema kwa nini wasi-search, jukwaa linakosa mvuto sjui watu hawachangii ukasema yote hayo mpk na link ukaweka. Nikakuelekeza tena kuwa si kila mtu anajua kila kitu ndugu kuna wengine hata huko ku-search hawajui.

Wapi niliposema tunabishana ndugu...?. Ila nashkuru kwa kujua kuwa tunaelekezana na ndio desturi ya wanajukwaa hili.

Shukran sana. Karibu.
 
Forum statistics

Threads 1,356,176
Members 518,857
Posts 33,126,874
Top