Watch Tv channels on your android smartphone

Watch Tv channels on your android smartphone

Sio kila mtu anajua kila kitu kama wewe??? Wengine katujulisha pia
Sijasema hilo kwa dhumuni kwamba kila mtu anajua bali hii app imesha jadiliwa sana humu.
Ikiwemo na IPTV, SIMU TV, NA KODI.
 
Kuna ndugu yangu ameniletea android box lake nimuwekee hiyo mobdro,nimeweka na inafanya kazi vizuri tu, channels nyingi anapata kama za mipira nk, ila sijui wapi na vipi pa kwenda kupata channels za ki afrika, siyo tu za bongo bali hata pia za mataifa mengine ya kiafrika. Yeye ameniambia aliona kwa rafiki yake anapata nyingi tu za west africa na east africa. Mimi siyo mtaalamu sana wa kutumia hiyo mobdro. Msaada jamani.
 
Kuna ndugu yanu ameniletea android box lake nimuwekee hiyo mobdro,nimeweka na inafanya kazi vizuri tu, channels nyingi anapata kama za mipira nk, ila sijui wapi na vipi pa kwenda kupata channels za ki afrika, siyo tu za bongo bali hata pia za mataifa mengine ya kiafrika. Yeye ameniambia aliona kwa rafiki yake anapata nyingi tu za west africa na east africa. Mimi siyo mtaalamu sana wa kutumia hiyo mobdro. Msaada jamani.
Mkubwa ukipata majibu naomba nishitue pliz, nahitaj chanel za bongo
 
Hapa wenye power bank ni burudani,stress free
 
Hapa halotel it works great for me, channels za kutosha...
 
Sijasema hilo kwa dhumuni kwamba kila mtu anajua bali hii app imesha jadiliwa sana humu.
Ikiwemo na IPTV, SIMU TV, NA KODI.

Aliyekuwepo jana sio aliyepo leo ndugu...!

This is JamiiForums.

Thanks.
 
Back
Top Bottom