Watch "10 Strange World Phenomena Science Cannot Explain!" on YouTube

papaayenga

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
765
501

Hapo ndipo ukweli kua sayansi tunayo ifahamu sisi binaadamu ni sehemu ndogo sana ya elimu tuliopewa na Allah yapo mambo mengi na makubwa abayo hatuyajui,nawala kwa hii elimu yetu ndogo ya sayansi tusijaribu kumpangia M/Mungu eti HAKUNA HUKUMU YA ADHABU KWA WAOVU NA PEPO KWA WEMA SIKU YA MWISHO
 
Ata kwetu Africa vitu visivyoelezeka ki sayansi vipo vingi mfano watu wanaodondoka bila nguo kutoka angani
 
Back
Top Bottom