Huo ndiyo ukweli.....
Kama kweli Mkulu anaamini Umma wa watanzania unampa full support na wapinzani wameishiwa Sera......
Ni kwanini basi ameingia woga wa kupitiliza kwa kutotaka kabisa wapinzani wafanye mikutano ya kisiasa?
Kwani yeye haujui ule msemo wa kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza?
Yeye aache vyama vyote vya kisiasa vinadi Sera zao kwa uhuru kwa mujibu wa Katiba ya nchi yetu na wananchi wenyewe ndiyo wapambanue MCHELE ni upi na PUMBA ni ipi?
Very trueShida ya sizonje mihemko inamsumbua Sana, hawezi kabisa kubalance equations hoja za vyama vya upinzani ingawaje yeye ni mwanakemia aliyetukuka, anashindwa kuelewa kuwa kwa kuwatumia hawa ndio anatakiwa kutoboa,hapo tu ndipo mtangulizi wake anapoonekana kuwa ni genius Zaidi yake
Kodi yote ya majengo iliyolipwa juzi juzi na sasa pesa zote kapewa Lipumba msajili na Spika waivuruge CUF mpaka ife izikwe huko pole pole akila Tenda ya kuwanunua madiwani wa chadema Arusha, moshi na kwingineko, pesa za umma 80% baada ya kulipa mishahara na malipo mengine Kidogo wanalipwa madalali wa kuua upinzani ili ccm ibakie peke yake kama China.Tokea nchi yetu irejee kwenye mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, hii ndiyo awamu pekee ambayo mfumo wake wa uongozi unaifanya nchi yetu ionekane kama ipo kwenye mfumo wa chama kimoja..........
Japo theoretically nchi inajihesabu ipo kwenye mfumo wa vingi.
Lakini practically hakika tumerudi kwenye mfumo wa chama kimoja!
Mtukufu kaamua kula pesa za umma kifisadi kupitia kisingizio cha Lipumba na wenzake, Serikali inakusanya kodi kubwa lakini wanatumia pesa zote kudhoofisha chadema na kuu CUF ni vigumu Nchi kupiga hatua kimaendeleo kwani ni Nchi inayotumia pesa nyingi kwenye mambo ya kijinga na hovyo kuliko Nchi yeyote Duniani, Mfano kule CUF wana ccm wanagharamia mpaka Waganga 43 wa kienyeji walioletwa na Abdalah kambaya kwa ajili ya kumlinda Lipumba pesa za umma inatumika kuendekeza ushirikina ndani ya CUF.Shida ya sizonje mihemko inamsumbua Sana, hawezi kabisa kubalance equations hoja za vyama vya upinzani ingawaje yeye ni mwanakemia aliyetukuka, anashindwa kuelewa kuwa kwa kuwatumia hawa ndio anatakiwa kutoboa,hapo tu ndipo mtangulizi wake anapoonekana kuwa ni genius Zaidi yake
CCM waanzishe matawi ya ccm kila kituo cha Polisi wapewe kadi za uanachama wa ccm kwani kuanzia IGP mpaka chini wote ni wanachama wa ccmYaani nchi inaendeshwa kwa ubaguzi wa waziwazi.
CCM kufanya mikutano ya kisiasa ya ndani, mikutano ya hadhara na hata maandamano ruksa....
Wakifanya Chadema, Polisi wanakuwa 'wapiga ramli' kuwa eti taarifa zao za kiintelejinsia zinawambia kutatokea uvunjifu wa amani!
Hawa Polisi kufanya kazi kama 'kitengo' cha CCM imesababisha wananchi wapoteze Imani yao kwa Jeshi hilo.
Kwa matendo yake hiko chama ni kama kinajitafutia laana kwa Mungu........Kodi yote ya majengo iliyolipwa juzi juzi na sasa pesa zote kapewa Lipumba msajili na Spika waivuruge CUF mpaka ife izikwe huko pole pole akila Tenda ya kuwanunua madiwani wa chadema Arusha, moshi na kwingineko, pesa za umma 80% baada ya kulipa mishahara na malipo mengine Kidogo wanalipwa madalali wa kuua upinzani ili ccm ibakie peke yake kama China.
Yaani Polisii wetu kazi yao ni kupokea maagizo toka juu.....CCM waanzishe matawi ya ccm kila kituo cha Polisi wapewe kadi za uanachama wa ccm kwani kuanzia IGP mpaka chini wote ni wanachama wa ccm