Umba Tuku
JF-Expert Member
- Feb 4, 2017
- 2,101
- 1,271
It is not only so sad but also so disappointing
with time people will find an alternative passively
It is not only so sad but also so disappointing
Yaani nchi inaendeshwa kwa ubaguzi wa waziwazi.sasa hivi ni waziwazi kuhusu; ukanda, itikadi, ukabila nk
Lakini Katiba ya nchi ambayo Mkulu aliapa kuitii na kuilinda inatamka wazi kuwa nchi yetu ipo kwenye mfumo wa vyama vingi.
Hivi mkuu nani anatamfunga paka kengele walikuwa wa hawamaanishi paka na panya unaowajua wewe ila ndio kama mimi na wewe leo tunavyoona sasaLakini Katiba ya nchi ambayo Mkulu aliapa kuitii na kuilinda inatamka wazi kuwa nchi yetu ipo kwenye mfumo wa vyama vingi.
Sasa yeye Bwana Mkubwa anapata wapi mamlaka ya kuzuia mikutano ya vyama vya upinzani hadi mwaka 2020 wakati yeye na chama chake cha CCM wanafanya kampeni kila siku?
WALA HATUJARUDIA WANAJILAZIMISHIA TU ILA MAJANGA WANAYOYATENGENEZA NI YA KUDUMU HUU UTAWALA UTAFIKIA UKOMO LAKINI CHUKI ZETU HAZITATUTOKA KAMWETokea nchi yetu irejee kwenye mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, hii ndiyo awamu pekee ambayo mfumo wake wa uongozi unaifanya nchi yetu ionekane kama ipo kwenye mfumo wa chama kimoja..........
Japo theoretically nchi inajihesabu ipo kwenye mfumo wa vingi.
Lakini practically hakika tumerudi kwenye mfumo wa chama kimoja!
Very true.WALA HATUJARUDIA WANAJILAZIMISHIA TU ILA MAJANGA WANAYOYATENGENEZA NI YA KUDUMU HUU UTAWALA UTAFIKIA UKOMO LAKINI CHUKI ZETU HAZITATUTOKA KAMWE
Yaani nchi inaendeshwa kwa ubaguzi wa waziwazi.
CCM kufanya mikutano ya kisiasa ya ndani, mikutano ya hadhara na hata maandamano ruksa....
Wakifanya Chadema, Polisi wanakuwa 'wapiga ramli' kuwa eti taarifa zao za kiintelejinsia zinawambia kutatokea uvunjifu wa amani!
Hawa Polisi kufanya kazi kama 'kitengo' cha CCM imesababisha wananchi wapoteze Imani yao kwa Jeshi hilo.
Hii hali ya kumhofia Mkulu ndiyo inazidi kuiweka nchi hii kwenye hali mbaya zaidi.....Hivi mkuu nani anatamfunga paka kengele walikuwa wa hawamaanishi paka na panya unaowajua wewe ila ndio kama mimi na wewe leo tunavyoona sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mpiga debe wa Lumumba ngoja nikuulize swali moja, hivi wajibu wa vyama vya upinzani nchini ni nini?Kila uchwao wapinzani wanahakikisha wananchi hawaipendi serikali yao. wamesahau majukumu yao ya msingi katika majimbo yao wamehamia kuhakikisha kuwa nchi inavurugika kabisa.
Sidhani ata kama tunafanana na mfumo wa chama kimoja kwa sasa.Nadhanj ni kama tupo katika ukoloni.Tokea nchi yetu irejee kwenye mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, hii ndiyo awamu pekee ambayo mfumo wake wa uongozi unaifanya nchi yetu ionekane kama ipo kwenye mfumo wa chama kimoja..........
Japo theoretically nchi inajihesabu ipo kwenye mfumo wa vingi.
Lakini practically hakika tumerudi kwenye mfumo wa chama kimoja!
It is true.Mkuru anazngua xna bt finally awamu hii huenda ikapelekea kupotea kwa tunu yetu ya amani tunayojivunia daily.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamanda kama ni chuki labda uianzishe wewe. Unajua watanzania hatukuwa tumezoea utii wa sheria bila shuruti. Hapo ndio tatizo. Lakini pia unafananisha Magufuli na unamchanganya kuwa kama kiongozi wa chama tuu. Hivi unasahau yeye ni rais wa nchi.. ana uhuru usio na mipaka kama rais wa nchi. Anaweza simama popote akazungumzia masuala ya nchi. Na ndio maama amethubuhu hata kumtaja mbunge wa ccm kuwa arudishe viwanda ambavyo alibinafsishwa kwa manufaa ya taifa avirudishe.Nianze kwa kunukuu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Ibara ya 3(1) ambayo inatamka kuwa nchi yetu itakuwa na mfumo wa vyama vingi na vyama hivyo vinatakiwa vifanye shughuli zake vikiwa huru bila kuingiliwa na chombo kingine chochote.
Sasa kama Katiba ya nchi yetu inatamka hivyo, ni kwanini Rais wetu alitamka kuwa vyama vya siasa vya upinzani visifanye mikutano yoyote ya ndani na nje hadi mwaka 2020 wakati yeye mwenyewe na chama chake cha CCM wanaendelea kufanya kampeni nchi nzima kila siku bila kubughuziwa na Polisi?
Inakuwaje pia Polisi kila siku wanatekeleza amri hiyo ya Rais ya kupiga marufuku mikutano ya kisiasa kwa kuwakamata viongozi wa kisiasa wa upinzani wanapojaribu kufanya mikutano, wakati wakijua kuwa amri hiyo ya Rais siyo halali kwa kuwa inavunja Katiba ya nchi yetu waziwazi?
Hebu pia ninukuu tena Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Ibara ya 18(1) ambayo inatamka kuwa kila mwananchi atakuwa huru kutoa maoni yake nje bila kubughuziwa na chombp kingine chochote.
Iwapo Katiba ya nchi yetu inatamka hivyo, Je Jeshi la Polisi linapata wapi mamlaka ya kuwakamata watu wengi kila siku kwa tuhuma za uchochezi wakati kiuhalisia watu hao walikuwa wakitekeleza haki yao ya kikatiba ya kutoa maoni yao?
Hivi tangu lini msamiati wa lugha yetu ya kiswahili umebadilika na kuleta tafsiri mpya kuwa kwa yeyote anayeikosoa serikali ya awamu ya 5 kutafsiriwa kuwa ni uchochezi na kutaka kuhatarisha usalama wa nchi?
Hivi ni kwanini pia tumekuwa tukilisikia Jeshi letu la Polisi likijibu mara kwa mara kuwa wanatekeleza amri toka juu ya kuwakamata watu wakati taaluma ya kazi yao hawapaswi kupokea maagizo badala yake wao wenyewe ndiyo wajiridhishe kuwa huyo mtu wanayemkamata ni kweli ana makosa ambayo yanastahili kukamatwa na kuwekwa ndani?
Nimeanza kwa kunukuu Ibara hizo za Katiba ili nionyeshe kuwa vitendo vinavyofanywa na Jeshi letu la Polisi kwa kila siku kuwakamata watu mbalimbali wakiwemo viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa vya upinzani kwa kudai kuwa wametoa lugha za uchochezi wakati kiuhalisia ni kuwa wanetunia haki yao ya kikatiba ya kutoa maoni yao kuwa ni vitendo ambavyo siyo halali na vinavunja Katiba ya nchi yetu.
Sasa nini kinaelekea kutokea kufuatia Jeshi letu la Polisi kutofanya shughuli zake kwa weledi na badala yake kutumika kupokea maagizo kutoka kwa watawala wetu ni kutengeneza chuki ndani ya Jamii kwa wananchi kuliona Jeshi lao la Polisi kuwa linstumika na watawala kuwanyanyasa raia wasio na hatia.
Inapofikia hatua hiyo inaliweka Taifa katika mazingira magumu kwa kuwa watu wanakuwa wanaishi katika hofu ya wakati wote kuhofia kukamatwa na Jeshi letu la Polisi kila wanapotaka kutumia haki yao ya kikatiba ya kutoa maoni yao.
Njia pekee ya nchi yetu kuepuka kujenga chuki ndani ya Jamii ni kwa watawala wetu kutekeleza wajibu wao kwa kuilinda na kuitii Katiba ya nchi yetu na Jeshi letu la Polisi kutekeleza wajibu wao kwa weledi wa kazi yao kutotakiwa kujihusisha na kujiegemeza na chama tawala na badala yake wanatakiwa wawe fair kwa vyama vyote bila kufanya upendeleo kwa chama tawala.
Iwapo watawala wetu wataendeleza staili yao ya kutawala kwa kuvitumia vyombo vyake vya dola kuviminya vyama vya siasa vya upinzani na kuendelea kuminya Uhuru wa wananchi wa kutoa maoni yao nje, hakika utawala huu wa awamu ya 5 utakuwa unatengeneza chuki ndani ya Jamii kitu ambacho ni cha hatari sana kinachoweza kuliangamiza Taifa letu.
Mungu ibariki Tanzania na iepushe kuingia kwenye chuki baina ya wananchi na vyombo vyao vya dola.
Kwa sababu katika hali ya nchi yetu ilipofikia, hatupaswi tena kujiita tuko kwenye mfumo wa vyama vingi.....Sidhani ata kama tunafanana na mfumo wa chama kimoja kwa sasa.Nadhanj ni kama tupo katika ukoloni.
Badala ya kuzungumzia ukandamizaji wa demokrasia unaofanywa na baadhi ya vyama vya siasa mnavyovijua kwanza mnadandia gari kwa mbele kwa mambo ambayo hata ukiambiwa uthibitishe huwezi..kwenye vyama vile ukihoji kitu unafukuzwa. Ukihoji katiba unafukuzwa. Ukihoji matumizi ya ruzuku unafukuzwa. Ukihoji mapato na matumizi ya jumla unaambiwa msaliti umetumwa. Ukandamizaji huu hamuuoni au mmeamua kuziba masikio. Jengeni kwanza nyumbani kabla hamjaamia ugeniniIt is true.
Kama wananchi tutaamua kukaa kimya kwa ukandamizwaji mkubwa wa demokrasia nchini, ambapo CCM kufanya mikutano ya kisiasa na maandamano inakuwa halali wakati vyama vikuu vya siasa vya Chadema na CUF vinazuiwa hata kufanya mikutano ya ndani....
Hakika kama trend hii ya ubaguzi wa wazi unaoendelea nchini hautapigwa STOP, basi ni dhahiri amani yetu itakuwa ipo rehani....
Hahahaha mmeshazoea vya kunyonga vya kuchinja hamviwezi.. mmezoea siasa za kulelewa kama mayai, na kubembelezwa. Awamu hii msijidanganye. Itakula kwenuKwa sababu katika hali ya nchi yetu ilipofikia, hatupaswi tena kujiita tuko kwenye mfumo wa vyama vingi.....
Ni vyema tu serikali ya awamu ya 5 iutangazie Ulimwengu kuwa nchi yetu imerejea kwenye mfumo wa chama kimoja!