Nimesema nchi za kiislamu, siyo nchi za kiarabu. Ukishasema uarabuni, usisahau kuwa hata israel ni sehemu ya uarabuni ambayo licha ya wayahudi ina pia waislamu wengi sana na iliwahikutawaliwa na mwanamke Golda MeirKumbuka huyu alitawala Nigeria kaskazini ikiwa ni hapa Afrika, tutajie watawala wanawake wa nchi za Kiarab....!
Nigeria si nchi ya Kiislam, au ulikuwa hujuwi hili? Nothern Nigeria ni kama jimbo ndani ya nchi na si nchi.Nimesema nchi za kiislamu, siyo nchi za kiarabu. Ukishasema uarabuni, usisahau kuwa hata israel ni sehemu ya uarabuni ambayo licha ya wayahudi ina pia waislamu wengi sana na iliwahikutawaliwa na mwanamke Golda Meir
Uislam wenyewe umeanza karne ya sabaSiyo Nigeria yote, ila Nigeria ya kasakzini ni nchi ya kiislamu tangu karne ya sita.
Jifunze kusoma na kuelewa mambo; wewe unazungumza Nigeria iliyoundwa baada ya Uhuru miaka ya sitini na post hiyo inazungumuza himaya ndani ya nchi hiyo miaka ya 1400 kabla ya Usman dan Fodio.Nigeria si nchi ya Kiislam, au ulikuwa hujuwi hili? Nothern Nigeria ni kama jimbo ndani ya nchi na si nchi.
Mwanzilishi wa uislam kazaliwa karne ya ngapi?siyo kweli; uislamu ulianza karne ya nne.
hiyo ni karne ya ngapi?570AD
Hiyo ni karne ya sita...Ya tano; karne hukamika baada ya miaka 100. Samahani kule nyuma nilisema karne ya nne.
Mimi siyo mwanahistoria ya dini ya kiisalamu ila Malkia Amina alikuwa mwislamu. Inawezekana nimekosea kwenye miaka ila eneo lote kaskazini mwa Nigeria ni waislamu kutokanana uzawa huo. Malkia yule alitawala kuanzia mwishoni mwa miaka ya 1500 hadi katikati ya miaka ya 1600. hHiyo ni zaidi ya miaka1000 tangu kuzaliwa kwa mwanzilishi wa uislamu!Hiyo ni karne ya sita...
Na bado sio kwamba alizaliwa tu na uislam ukaanza...ulianza akiwa na 40+years kwhyo ni kwenye miaka ya 600's karne ya saba
Okay sawa...lakini pia unapoweka makala jaribu kutoa conclusion yenye logic katika maoni yako.Mimi siyo mwanahistoria ya dini ya kiisalamu ila Malkia Amina alikuwa mwislamu. Inawezekana nimekosea kwenye miaka ila eneo lote kaskazini mwa Nigeria ni waislamu kutokanana uzawa huo. Malkia yule alitawala kuanzia mwishoni mwa miaka ya 1500 hadi katikati ya miaka ya 1600. hHiyo ni zaidi ya miaka1000 tangu kuzaliwa kwa mwanzilishi wa uislamu!
Maswali yako yote ni magumu sana kwangu; hebu saidia kutupa ufumbuzi wake!Hukumu za kiislamu hazitenguliwi wala kubadilika kwa yale wanayoyafanya waislamu.
Uislamu unasemaje kuhusu kutawaliwa na mwanamke?
Ishu sio watu wanatawala,ishu je uislamu unasemaje kuhusu wanawake kutawala?
Tukiangalia nini wanafanya waislamu mwishowe tutakuja kusema zinaa sio haramu kwa sababu waislamu wengi na Nchi nyingi za kiislamu zinaa inafanyika,sasa tukiangalia watu hatutajua uislamu.
Tusiangalie waislamu wanafanyeje,Tuangalie uislamu unasemaje?