Kwenye hili na Mitamba serikali inasehemu kubwa ya lawamaDah! Siku hizi kila mtu anakula lwa urefu wa kamba yake. Ukizubaa tu, umepigwa.
Mkuu kwa Tz ni maeneo mangapi yamepimwa??? Karibu asilimia 80 ya viwanja havijapimwa, ni maeneo holela tu, kidogo sasa hivi ndio serikali imeamka kwa lile zoezi la UMILIKISHAJI WA ARDHI.Hili linatokana na watu wenyewe kufanya vitu bila kujiridhisha,Mfano mtu anakwambia anauza viwanja vimepimwa lakini ukimwambia akupe approved survey plan hana,anakuambia bado haijatoka ,sasa unajiuliza huo upimaji wake ana uhakika gan nao? Coz survey plan kibao huwa zinakataliwa kutokana na kukosa vigezo vilivyo ainishwa
Ukiachana na hili watu wananunua ardhi bila kujiridhisha na umiliki wa anayekuuzia
TuwasilianeNawezaje kufanya approval kabla sijanunua
Uko sahihi mkuu .... lakini kutokana na hili wimbi kubwa la utapeli wa viwanja we unafikiri suluhisho nini?Mkuu kwa Tz ni maeneo mangapi yamepimwa??? Karibu asilimia 80 ya viwanja havijapimwa, ni maeneo holela tu, kidogo sasa hivi ndio serikali imeamka kwa lile zoezi la UMILIKISHAJI WA ARDHI.
Alafu uje ukute na Hao viongozi wa mtaa ni wavamizi pia wa hiyo ardhi.Hao viongozi wa mtaa, wenyekiti hawafai wamekosa weledi watumbuliwe tu.
Yaani kwa mfumo mbovu wa ardhi Tz, ni ngumu sana kujihakikishia uko salama 100% hasa kwa hivi viwanja ambavyo havijapimwa, kwani mtu atakupa hati ya mauziano ile ya serikali ya mtaa, huwezi jua kama kuna mwinginr tena anayo hiyo hiyo tena, mzozo unapoibuka muuzaji anakuwa amewaachia tatizo, mimi yalinikuta nilipambana kama miaka 3 mahakamani hadi kikaeleweka, hao wenyeviti wa mitaa, huwa hawana misaada kabisa mbele ya sheria pale panapoibuka mgogoro!!Uko sahihi mkuu .... lakini kutokana na hili wimbi kubwa la utapeli wa viwanja we unafikiri suluhisho nini?
Naona bimepandishwa TAUSI, nahisi kuna walioamua kununua mara mbili viwanja vyao kukwepa kubomolewa au huu utaratibu haupo?Kwenye hili na Mitamba serikali inasehemu kubwa ya lawama
.Eneo liliachwa kuwa pori kwa miaka mingi
.Halmashauri ya Kibaha haikuchukua hatua mapema wavamizi na matapeli walipoanza biashara ya viwanja
. Viongozi na watendaji nao hawakuchukiliwa hatua mapema nao walipojiingiza kwenye hiyo biashara ya kitapeli
. Kwasababu zisizojulikana pori likaachwa bila kufyekwa wala kuhudumiwa na kugeuka pori la maasi, mauaji, vibaka, ujambazi na shughuli za kishirikina
Unamkumbuka yule binti aliyechomwa moto? Alichomewa huko Mitamba...
Bodaboda wengi wameuliwa huko na kuporwa pikipiki zao
Ni kawaida pori la Mitamba kuokota maiti zilizokwisha oza na kuharibika kabisa.. Hapo sijazungumzia makaburi
Baada ya Mabwepande sasa ni Mitamba.. Ukipelekwa huko.. Kutoka salama ni majaliwa ya mbingu
Viwanja vilivyouzwa na kujengwa mijengo ya maana tena kwa nyaraka halali na kupatiwa huduma zote muhimu za kijamii kama umeme na maji ni vingi sana
Serikali ikubali kukosea.. Iwawajibishe waliopiga dili lakini waliokwisha jenga na kufanya maendeleo waachwe tu maana ni wengi mno
Sent using Jamii Forums mobile app
MnoUnunuaji wa ardhi unahitaji umakini sana
Hasa kwa maeneo ambayo yanavutia sana na yanaonekana kama hayana mwenyewe. Muda mwingi maeneo hayo yanakuwa mali ya serikali.Ununuaji wa ardhi unahitaji umakini sana