Watanzania wengi watajitokeza kupiga kura mpaka mtashangaa

Kamgomoli

JF-Expert Member
May 3, 2018
1,865
3,802
Si mnakumbuka mzee Meko alivyotishia kuwatimua wateule wake ambao wangeshindwa kufikia malengo ya uandikishaji? Kilichotokea mnakijua, ndani ya siku tatu mkoa wa Dar, uliokuwa wa mwisho, ghafla ukapanda mpaka 3 bora.

Hakuna mwandishi wa habari aliyethubutu kuhoji siri ya mafanikio haya ya ghafla kama uyoga. Natabiri vile vile tarehe 24 kuambiwa asilimia 90 ya waliojiandikisha wamejitokeza kupiga kupiga kura.

Hivi mnaijua CCM au mnaisikia? Mimi nitakuwa wa kwanza kupiga kura mapemaaaa japo safari hii tutatumia ule mfumo wa kivuli cheusi na sura, wale wahenga nadhani mnakumbuka chaguzi zetu za 1980s.
 
Pumbavu kweli! Hakuna MTU atafanya ujinga huo! Mliwashurutisha wafanyakazi wa serikali wakajiandikishe, mkatoa na waraka wa vitisho na bado wengi tu hawakwenda! Sasa ulidhani nani ataenda kupiga kura? Labda muwalipe posho! You guys akili zenu ziko jirani na mapaja ya miguu kwa nyuma.

Kwa yanayofanywa na C.C.M yote yanawezekana ila kiuharisia watu SIO wengi..
Mfano Mimi hapa mtaani kwangu nimesikia kuwa waliojiandikisha hawazidi 1300(Kwa mujibu Wa mgombea Wa C.C.M kura za maoni aliyrkatwa) sasa hao watu watatoka wapi zaidi ya kale ka mchezo ka kujitekenya kisha unacheka mwenyewe
 
Watakao jitokeza ni wachache sana, takwimu wakati wa kutangaza matokeo ndio zitalingana na ulicho andika.
 
Si mnakumbuka mzee Meko alivyotishia kuwatimua wateule wake ambao wangeshindwa kufikia malengo ya uandikishaji? Kilichotokea mnakijua, ndani ya siku tatu mkoa wa Dar, uliokuwa wa mwisho, ghafla ukapanda mpaka 3 bora.

Hakuna mwandishi wa habari aliyethubutu kuhoji siri ya mafanikio haya ya ghafla kama uyoga. Natabiri vile vile tarehe 24 kuambiwa asilimia 90 ya waliojiandikisha wamejitokeza kupiga kupiga kura.

Hivi mnaijua CCM au mnaisikia? Mimi nitakuwa wa kwanza kupiga kura mapemaaaa japo safari hii tutatumia ule mfumo wa kivuli cheusi na sura, wale wahenga nadhani mnakumbuka chaguzi zetu za 1980s.

Nani kakudanganya?

Haji mtu!

Na ujue ukweli unaujua na you motherfuckers scared to death mpaka unakuja kufungua uzi as if kuna mtu alikua anabishana na wewe kumbe no one!

Niggas y’all scared shitlessly!
 
Hahahaaaaa we jamaa umesema akili ziko wapi??? Ntakuunganisha na Joti
Pumbavu kweli! Hakuna MTU atafanya ujinga huo! Mliwashurutisha wafanyakazi wa serikali wakajiandikishe, mkatoa na waraka wa vitisho na bado wengi tu hawakwenda! Sasa ulidhani nani ataenda kupiga kura? Labda muwalipe posho! You guys akili zenu ziko jirani na mapaja ya miguu kwa nyuma.
 
Nmengundua wengi wenu humu fasihi mliegeshea mmekimbilia kuporomosha matumisi. Someni tena!
Nani kakudanganya?

Haji mtu!

Na ujue ukweli unaujua na you motherfuckers scared to death mpaka unakuja kufungua uzi as if kuna mtu alikua anabishana na wewe kumbe no one!

Niggas y’all scared shitlessly!
 
Hahaaa Mpwa huna adabu kabisa! Unawezaje kunitoa nje ya reli kabisa bila kunipa taarifa? Nimesoma tena nimekuelewa vyema! Nilisoma kabla ya kunywa chai! Njaa mbaya sana, nitapiga "kula"
Si mnakumbuka mzee Meko alivyotishia kuwatimua wateule wake ambao wangeshindwa kufikia malengo ya uandikishaji? Kilichotokea mnakijua, ndani ya siku tatu mkoa wa Dar, uliokuwa wa mwisho, ghafla ukapanda mpaka 3 bora.

Hakuna mwandishi wa habari aliyethubutu kuhoji siri ya mafanikio haya ya ghafla kama uyoga. Natabiri vile vile tarehe 24 kuambiwa asilimia 90 ya waliojiandikisha wamejitokeza kupiga kupiga kura.

Hivi mnaijua CCM au mnaisikia? Mimi nitakuwa wa kwanza kupiga kura mapemaaaa japo safari hii tutatumia ule mfumo wa kivuli cheusi na sura, wale wahenga nadhani mnakumbuka chaguzi zetu za 1980s.
 
Si mnakumbuka mzee Meko alivyotishia kuwatimua wateule wake ambao wangeshindwa kufikia malengo ya uandikishaji? Kilichotokea mnakijua, ndani ya siku tatu mkoa wa Dar, uliokuwa wa mwisho, ghafla ukapanda mpaka 3 bora.

Hakuna mwandishi wa habari aliyethubutu kuhoji siri ya mafanikio haya ya ghafla kama uyoga. Natabiri vile vile tarehe 24 kuambiwa asilimia 90 ya waliojiandikisha wamejitokeza kupiga kupiga kura.

Hivi mnaijua CCM au mnaisikia? Mimi nitakuwa wa kwanza kupiga kura mapemaaaa japo safari hii tutatumia ule mfumo wa kivuli cheusi na sura, wale wahenga nadhani mnakumbuka chaguzi zetu za 1980s.

Ni kweli takwimu zitaonesha waliopiga kura ni wengi, lakini kiuhalisia mtu mmoja wa ccm atapiga kura zaidi ya 50, kwa hiyo wakijitokeza maccm 10, tayari kutakuwepo na kura 500 zilizopigwa.

Kuhusiana na kuongeza ghafla kwa watu waliojiandikisha, huo ni uongo mtupu. kilichofanyika ni watu wasiojulikana, ila hapa wajulikane kama wanaccm ndo waliofaya hilo jambo.
Kwenye vituo ukiwauliza wale waliokuwa wanaandikisha wanasema hata wao wanashangaa kwani walikuwa wanakaa kwenye kituo cha kujiandikisha kuanzia asubuhi hadi jioni ila walikuwa hawaandikishai watu zaidi ya 5, sasa kusema watu walijitokeza, huo ni mtihani mwingine.
 
Nmengundua wengi wenu humu fasihi mliegeshea mmekimbilia kuporomosha matumisi. Someni tena!

Unaerekebisha wanadamu wengine kuhusu fasihi wewe ndio hovyo zaidi:

Nmengundua=Nimegundua
Matumisi=Matusi

Yaani wewe jamaa una vituko sana,unalazimisha watu waelewe kwa jinsi wewe ulivyoelewa?

Wewe kama nani?

Waache waelewe watakavyo na wewe ulielewa kama ulivyotaka,usijitie wewe ndio marking scheme ya kusahihishia uelewa wa wengine!

Such an ass!
 
Kuji
Si mnakumbuka mzee Meko alivyotishia kuwatimua wateule wake ambao wangeshindwa kufikia malengo ya uandikishaji? Kilichotokea mnakijua, ndani ya siku tatu mkoa wa Dar, uliokuwa wa mwisho, ghafla ukapanda mpaka 3 bora.

Hakuna mwandishi wa habari aliyethubutu kuhoji siri ya mafanikio haya ya ghafla kama uyoga. Natabiri vile vile tarehe 24 kuambiwa asilimia 90 ya waliojiandikisha wamejitokeza kupiga kupiga kura.

Hivi mnaijua CCM au mnaisikia? Mimi nitakuwa wa kwanza kupiga kura mapemaaaa japo safari hii tutatumia ule mfumo wa kivuli cheusi na sura, wale wahenga nadhani mnakumbuka chaguzi zetu za 1980s.
Kujiandikisha ni swala jingine na kupiga kura ni swala jingine.Havifanani ati.
 
Hata msipopiga kura, hao CCM watajipigia na kujiongezea idadi ya kura mara tatu zaidi!
 
Naona Landslide kichwani. You have a Sloth brain

Back
Top Bottom