Citizen_37
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 1,013
- 1,210
Wenye akili za aina yake ndio watakaomuelewa 😆Umewaza kwa kina sana, sijui kama wengi watakuelewa.
Wenye akili za aina yake ndio watakaomuelewa 😆Umewaza kwa kina sana, sijui kama wengi watakuelewa.
Na Mwanamke kuwaongoza wanaume dini inasemaje? Sijawahi kuona Shehe mwanamke🙁Si vyema Kiislam kumuita mtu hivyo wakati ana jina lake, sisi Waislam tunaamini mkuu bwa ni mmoja tu. Muumba wetu.