Watanzania wengi walioonewa kama Lissu, ila hawana mahali pa kusemea

monde arabe

JF-Expert Member
Oct 22, 2017
8,321
2,000
Habar za leo ndugu wanajukwaa,
Sote tunakifahamu kilichompata ndugu yetu Tundu Lissu pia sote tunafahamu harakati anazoziendeleza huko ugahaibuni

Nataka Dunia nzima ifahamu ya kuwa wapo Watanzania wengi walioonewa kama TL (japo si kwa kupigwa risasi kama za TL) lkn,hawana mahali pa kusemea kama TL

Tangu leo naomba TL huko aliko atambue ya kuwa yeye ndyo platform yetu,yeye ndyo sauti yetu sisi tusio na mahali pa kusemea pia,atambue ya kuwa Watanzania Million 55 tupo nyuma yake na tunatambua mchango wake chanya kwa Taifa na maumivu aliyoyapata na tunayoyapata sote

Wherever you're TL, be our voice tupo pamoja nawe...akili yako kama zawadi kutoka kwa Mungu pamoja na nafasi yako viwe ni silaha ya kututoa Misri kwa Pharaoh na kutupeleka Kanaani

We all love you Brother of us!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom