Watanzania Wengi Siasa Hamzijui....

ni mtanzania ambaye sipendi kukurupuka pia...

Tunakuomba tafadhali utuambie ni wapi hiyo elimu ya siasa ulipoipatia ili nasi tukajiunge tuelimike, kinyume chake unataka kujikweza. Naogopa kukuhusisha na "unafiki"
 
Mkuu hata hizo hela zikirudi umasikini utakuwepo tu sijasema kwamba umasikini upo kwasababu kuna hela zipo uswiss, ila kuzifuatilia hizo hela na kuzirudisha is a such a complicated issue sio rahisi kama zitto alivyojaribu kuwaaminisha wafuasi wake

Kwa hiyo Zitto alikuwa anafanya ili kuwafurahisha watu?
 
Tujitahidi pia kusoma vitabu vya maarifa..
tuwe makini na hizi siasa za maji taka

Humu kuna watu wengi sana na hujui uwezo wa watu wala fani zao,next time chagua heading kistaarabu na uwe na uhakika wa kumudu mjadala!!!!!!

Cc jogi
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hata hizo hela zikirudi umasikini utakuwepo tu sijasema kwamba umasikini upo kwasababu kuna hela zipo uswiss, ila kuzifuatilia hizo hela na kuzirudisha is a such a complicated issue sio rahisi kama zitto alivyojaribu kuwaaminisha wafuasi wake
Nini nia ya kuunganisha umasikini na kushindwa kwa ZZK
 
Kwa hiyo Zitto alikuwa anafanya ili kuwafurahisha watu?

Kujifurahisha yeye na kujenga tension kwa wafuasi wake. Huwezi pewa details za accounts za watu wewe kama nani? Hata serikali ya Tz haijabariki hii ishu kwanini wa-disclose details za watu kwako.
 
hakuna kitu kibaya kama kufanya ushabiki kwa kitu usichokijua
au kufanya mahitimisho kutoka kwa kauli za upande wa pili
Kwa wanasiasa wenye akili, ni kazi rahisi sana kuwagawanya
Watanzania.

Tena kwenye yale mambo ya msingi na yenye umuhimu katika taifa

Kama anavyokuwa akifanya zitto.Leo akiibukia kwa waandishi wa habari upepo unageuka tena.Utawaona mazombi wanavyoshabikia.Hata wasomi wengi hawafikiri kabisa

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Humu kuna watu wengi sana na hujui uwezo wa watu wala fani zao,next time chagua heading kistaarabu na uwe na uhakika wa kumudu mjadala!!!!!!

Cc jogi

Mkuu mimi nimemuuliza tu, amefanya nini cha tofauti ili kujitofautisha na wanazania wengi ambao hawazijui siasa? Kwa jinsi alivyoandika inaonekana ni mtu ambae angeweza kuwa na vitu tangible vya kutuonyesha kwamba mtu anaejua siasa anavyotakiwa kulinufaisha taifa. Bila kuwa na kitu cha tofauti alichofanya bado tupo kwenye kundi moja tu!
 
Humu kuna watu wengi sana na hujui uwezo wa watu wala fani zao,next time chagua heading kistaarabu na uwe na uhakika wa kumudu mjadala!!!!!!

Cc jogi

nina wasiwasi humu watu wengi wetu ni mamluki wafuata upepo.
 
copy received and acknowledged
 
Last edited by a moderator:
nina wasiwasi humu watu wengi wetu ni mamluki wafuata upepo.

Tuambie chuo ulichosomea siasa, hata kama ni kivukoni usiogope kusema. pengine ndio utanogesha mjadala. tuashangaa umeanzisha mada ghafla umeanza mipasho.
 
In short, if you want me to take your questions seriously,
you will have to convince me that you in fact understand
both sides of this issue

hebu niambie sasa unajua nini juu ya pesa za uswisi na nyingine
zilizowekwa huko nje na watanzania?.

CC: OLESAIDIMU
 
pesa za uswisi sio siasa mkuu, huo ni uchumi, kuzijua kama zipo huko ama hazipo imetupasa kurejea sera ya taifa/kimataifa kuhusu fedha haramu.

Tuambie umesoma kitabu gani kikakujulisha kuwa kuna fedha za watanzania uswisi ili nasi tukakisome.

karibu utaji-brand "mnafiki"
cc: OLESAIDIMU
 
sasa naona unaanza kuja, then kama siyo siasa, why are they taking it politically?
Nikisema watanzania hatujui siasa unakataa nini?

Narudia tena, tunafuata mambo kwa mkumbo...
 
Back
Top Bottom