Watanzania Wengi Siasa Hamzijui....

uran

uran

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Messages
1,210
Points
1,225
Age
48
uran

uran

JF-Expert Member
Joined Nov 11, 2013
1,210 1,225
Siasa za Tanzania ni za kiuwendawazimu,Hamfikirii wala kureason critically.

Ni watu wakufuata mkumbo na kukurupuka sana,Najiuliza hii inachangiwa na nini?sijui ni elimu duni ama?

Kwanini tuu wepesi sana kubadilika kwa kauli nyepesi nyepesi na rahisi?

Maswala mazito tunayafanya marahisi kisa tu time delaying.Mapesa ya Uswisi ni Billioni kadhaa,

Jana mmeambiwa huko kwenye visiwa vya Uingereza kuna Matrillion ya Watanzania yamefichwa huko ni zaidi ya mabilioni ya Uswisi.
No one speaks about this, tumesticky Uswisi Uswisi..

Na siyo haya tu kuna matukio mengi sana ya Kisiasa yanatuadhiri sisi Kwa ajili ya ujinga wetu na kufuata mkumbo na Ushabiki wa kitoto.

Someni basi hata vitabu!!!

Aleyn

Aleyn

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Messages
11,770
Points
2,000
Aleyn

Aleyn

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2011
11,770 2,000
Siasa za Tz ni chenga. Kuna kipindi hapa JF watu tukasema ZZK ni mnafki tukapigwa sana vijembe kuwa sisi ni CCM, leo hii ZZK yamemkuta ya kumkuta watu wa humu hawataki hata kumsikia.
 
uran

uran

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Messages
1,210
Points
1,225
Age
48
uran

uran

JF-Expert Member
Joined Nov 11, 2013
1,210 1,225
hakuna kitu kibaya kama kufanya ushabiki kwa kitu usichokijua
au kufanya mahitimisho kutoka kwa kauli za upande wa pili
Kwa wanasiasa wenye akili, ni kazi rahisi sana kuwagawanya
Watanzania.

Tena kwenye yale mambo ya msingi na yenye umuhimu katika taifa
 
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2010
Messages
8,655
Points
2,000
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2010
8,655 2,000
hakuna kitu kibaya kama kufanya ushabiki kwa kitu usichokijua
au kufanya mahitimisho kutoka kwa kauli za upande wa pili
Kwa wanasiasa wenye akili, ni kazi rahisi sana kuwagawanya
Watanzania.

Tena kwenye yale mambo ya msingi na yenye umuhimu katika taifa
Huyu ndie mkombozi wa matatizo yetu

D

dkirenga

Senior Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
192
Points
0
D

dkirenga

Senior Member
Joined Dec 21, 2012
192 0
Hii ni aibu hamna maji safi na yakutosha hamna dawa n huduma bora mahospitalini hamna shule zenye ubora na elimu halafu mnachekea hizo hela huko uswis na hivyo visiwa kweli watanzania ni zaidi unavyowajua...
 
major mwendwa

major mwendwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2011
Messages
2,234
Points
2,000
major mwendwa

major mwendwa

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2011
2,234 2,000
There are very few people in Tanzania who knows about political game not only in Tanzania. Kwanza jiulize kama somo la uraia unalielewa vizuri historia je. Malengo ya siasa wanasiasa ni watu wa aina gani na wamegawanyika katika makundi mangapi. Ideology ya siasa kwa wanachama wa vyama vya siasa inahitaji umakini wa hali ya juu katika shughuli na maamuzi ya siasa huku maamuzi yakipaswa kuzingatia miongozo kanuni na maadili ya wanasiasa. Naona wengi tunaichukua kimzaa ila athari zake ni kubwa kuliko akili zetu zinavyofikiria
 
OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Messages
19,166
Points
1,250
OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2011
19,166 1,250
hakuna kitu kibaya kama kufanya ushabiki kwa kitu usichokijua
au kufanya mahitimisho kutoka kwa kauli za upande wa pili
Kwa wanasiasa wenye akili, ni kazi rahisi sana kuwagawanya
Watanzania.

Tena kwenye yale mambo ya msingi na yenye umuhimu katika taifa
Mimi najitolea kuwa mwanafunzi mjinga kabisa wa siasa ewe mwalimu!!!!

1. Ni nini cha/vya kuzingatia linapokuja suala la siasa kwa upana wake????!!!!
2. Kuna muda maalumu(kuepuka) kukurupuka wa kuongelea jambo fulani??!!!
3. Ni upi mwenendo mzuri wa ufuatiliaji; kufuatilia jambo moja mpaka mwisho au likijitokeza jipay unaacha la mwanzo au unayaunganisha??!!!Nini hasara na faida za kila njia hapo juu???!!!
4. Kuna magwiji katika hii Tasnia hebu tutajie tujifunze kwa mienendo yao na vigezo vya kuwap ugwiji huo!!!!???
5. Ili tusigawanywe na wanasiasa wenye akili ni nini kifanyike mwalimu??!!!

Ukitupatia theories,methodology,modals na vitu kama hivyo vitarahisisha kujifunza mwalimu!!

Natanguliza shukurani
 
H

Honolulu

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Messages
5,649
Points
1,225
H

Honolulu

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2012
5,649 1,225
Ni wachache wanaozijua siasa kama Mwigulu! Anaratibu magenge ya vibaka wanaong'oa watu meno na kucha bila ganzi na kisha anakwenda kujionea jinsi vijana wake walivyofanya kazi nzuri.

OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Messages
19,166
Points
1,250
OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2011
19,166 1,250
There are very few people in Tanzania who knows about political game not only in Tanzania. Kwanza jiulize kama somo la uraia unalielewa vizuri historia je. Malengo ya siasa wanasiasa ni watu wa aina gani na wamegawanyika katika makundi mangapi. Ideology ya siasa kwa wanachama wa vyama vya siasa inahitaji umakini wa hali ya juu katika shughuli na maamuzi ya siasa huku maamuzi yakipaswa kuzingatia miongozo kanuni na maadili ya wanasiasa. Naona wengi tunaichukua kimzaa ila athari zake ni kubwa kuliko akili zetu zinavyofikiria

Mkuu mtu anayekuita mjinga mpe jukumu la kukufundisha!!!!!
 
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
33,783
Points
2,000
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
33,783 2,000
Ukifuatilia sana siasa na wanasiasa wa Tanzania unaweza kuwa "mwehu".
 
Victoire

Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Messages
11,516
Points
2,000
Victoire

Victoire

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2008
11,516 2,000
Watu hawatumii akili kabisa,yaani leo hojja imekuwa Zitto,huku wakichekelea watu kuwa na mabilioni Swisse na kwingineko
 
OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Messages
19,166
Points
1,250
OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2011
19,166 1,250
Hii ni aibu hamna maji safi na yakutosha hamna dawa n huduma bora mahospitalini hamna shule zenye ubora na elimu halafu mnachekea hizo hela huko uswis na hivyo visiwa kweli watanzania ni zaidi unavyowajua...
Watanzania wafanye nini wakati majukumu yamepokwa na vyama vya siasa???!!!
Vyama vimewaaminisha watu kwa maisha yote kuwa vinaweza kutatua matatizo yao!!!!!
Na watu wameamini,wmekabidhi akili,mioyo,roho,pumzi na matumaini yao kwa vyma hivi!!!!!

Kila siku nasema hapa adui wa maendeleo ni kutokujitambua; sababu vyama vinatengeneza hali ya kutegemewa na mwisho wa siku havitimizi hiyo hali ya kutegemewa kama inavyotegemewa na wategemezi; ukishakabidhi yote hayo wewe huna lako tena katika maisha haya utakuwa tegemezi tu!!!!!!Sababu yatakuja masuala ya kanuni,taratibu,itikadi,kiapo,vikao halali na mengine mengi ya kuwagawanya zaidi kwa vipato,elimu ,itikadi,misimamo na hali za kimaisha!!!!!!Humo humo ndani ya chama!!!!!

Chama hakileti visima vya maji,hakina kiwanda cha dawa,hakifundishi walimu wala madaktari,chama hakina workshop kutengeneza madawati wala vitanda vya hospitali!!!!
Haya matatizo ndio yanayotakiwa kuondoka sasa atakayeanzia huku ndio anaweza kuwa mkombozi!!!!Mfumo uliopo kushughulikia haya ni kama fadhila ndio maana wawakilishi "wanaomba na kulalamika juu ya haya huko bungeni" sababu waliingia kuwawakilisha kwa mgongo wa vyama na vyama haivina.jinsi ya kumaliza haya!!!!!

Sasa endeleeni kukabidhi mioyo,akili,roho ,pumzi na matumaini juu ya vyama vya siasa na kutegemea ukombozi!!!!!!! The relationship between government and political parties; the well set puzzle!!!!!!

Ha hha ahaaaaaa haaaaa ni mawazo tu jamani msikunje ngumi bure wanajamvi, wafuasi watiifu wa vyama vya siasa na viongozi husika!!!!

Who is our best companion in fighting a common enemy??????!!!
 
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Messages
21,938
Points
2,000
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2010
21,938 2,000
labda usiwe mtanzania, nina wasiwasi hata na wewe umekurupushwa na umekurupuka haswaaaa.
 
Bufa

Bufa

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Messages
5,067
Points
2,000
Bufa

Bufa

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2012
5,067 2,000
Kosa kubwa la watanzania na waafrika wengi ni kuamini kuna mtu yupo kwaajili ya kuboresha maisha yao, yani anataka yeye akae tu ila apate maji safi, huduma bora za afya n.k zaidi zaidi anataka abaki kumshabikia tu huyo mtu anayemuaminisha kwamba atambadilishia maisha yake pasipo yeye kufanya jitihada zozote

Ishu ya hela za Swiss ni kupoteza muda tu, hii ishu sio rahisi kama zzk alivyojaribu kuiweka. Wafuasi wa zzk sijui wanawaza nini kuamini mambo kama haya
 
OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Messages
19,166
Points
1,250
OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2011
19,166 1,250
Kosa kubwa la watanzania na waafrika wengi ni kuamini kuna mtu yupo kwaajili ya kuboresha maisha yao, yani anataka yeye akae tu ila apate maji safi, huduma bora za afya n.k zaidi zaidi anataka abaki kumshabikia tu huyo mtu anayemuaminisha kwamba atambadilishia maisha yake pasipo yeye kufanya jitihada zozote

Ishu ya hela za Swiss ni kupoteza muda tu, hii ishu sio rahisi kama zzk alivyojaribu kuiweka. Wafuasi wa zzk sijui wanawaza nini kuamini mambo kama haya

Una akili ila umeamua kuielekeza padogo!!!!!

Yaani kuboresha maisha kunakwama sababu ZZK kashindwa kurudisha hayo mahela yetu huko????!!!

Aaaanh unaweza zaidi ya hapa kata minyororo kichwani tusukume nchi hii
 
T

Tuishi

Member
Joined
Jun 18, 2013
Messages
37
Points
95
T

Tuishi

Member
Joined Jun 18, 2013
37 95
Siasa ina wachezaji wake,mashabiki kutofautiana mitazamo ni kawaida
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
31,420
Points
2,000
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
31,420 2,000
Ni wachache wanaozijua siasa kama Mwigulu! Anaratibu magenge ya vibaka wanaong'oa watu meno na kucha bila ganzi na kisha anakwenda kujionea jinsi vijana wake walivyofanya kazi nzuri.

kama vile anasema"Mbona hawajafanya tulivyopatana?"
 
uran

uran

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Messages
1,210
Points
1,225
Age
48
uran

uran

JF-Expert Member
Joined Nov 11, 2013
1,210 1,225
Tujitahidi pia kusoma vitabu vya maarifa..

Mimi najitolea kuwa mwanafunzi mjinga kabisa wa siasa ewe mwalimu!!!!

1. Ni nini cha/vya kuzingatia linapokuja suala la siasa kwa upana wake????!!!!
ni kutafakari sana tena kwa kina kabla ya kuanza kuropoka
2. Kuna muda maalumu(kuepuka) kukurupuka wa kuongelea jambo fulani??!!!
hakuna muda maalumu ila la muhimu ni kuwa na busara na kuongea bila kufuata mkumbo
3. Ni upi mwenendo mzuri wa ufuatiliaji; kufuatilia jambo moja mpaka mwisho au likijitokeza jipay unaacha la mwanzo au unayaunganisha??!!!Nini hasara na faida za kila njia hapo juu???!!!
hapo sidhani kwa akili ya kawaida tu utashindwa kung'amua

4. Kuna magwiji katika hii Tasnia hebu tutajie tujifunze kwa mienendo yao na vigezo vya kuwap ugwiji huo!!!!???
gwiji ni kama kina Werema na kina Nape
5. Ili tusigawanywe na wanasiasa wenye akili ni nini kifanyike mwalimu??!!!
kuthink critically

Ukitupatia theories,methodology,modals na vitu kama hivyo vitarahisisha kujifunza mwalimu!!

Natanguliza shukurani
tuwe makini na hizi siasa za maji taka
 
Bufa

Bufa

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Messages
5,067
Points
2,000
Bufa

Bufa

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2012
5,067 2,000
Una akili ila umeamua kuielekeza padogo!!!!!

Yaani kuboresha maisha kunakwama sababu ZZK kashindwa kurudisha hayo mahela yetu huko????!!!

Aaaanh unaweza zaidi ya hapa kata minyororo kichwani tusukume nchi hii
Mkuu hata hizo hela zikirudi umasikini utakuwepo tu sijasema kwamba umasikini upo kwasababu kuna hela zipo uswiss, ila kuzifuatilia hizo hela na kuzirudisha is a such a complicated issue sio rahisi kama zitto alivyojaribu kuwaaminisha wafuasi wake
 
Forum statistics

Threads 1,285,884
Members 494,778
Posts 30,877,540
Top