Watanzania wengi ni abnormal

Dr Slaa alienda Kigoma kupigania hayo??

Unachekesha,

Abnormal ni wewe uliyeshindwa kugundua kwamba chama kinaendeshwa kibabe,na Dr Slaa alienda Kigoma akihisi anamkomoa Mh Zitto kumbe wanaenda kumpopoa,

Alafu mshauri wake yule muhuni lema(mini kabaang) na mchungaji Msigwa wanakula bata Dar

Naona ma-abnormal wameshaingia. Kama chama kinaendeshwa kibabe acheni wanachadema waamue. Kwa nini ccm wanakosa usingizi?
 
Professor ana-argué Kama mwanafunzi wa QT? Lahaula!! Njaa mbaya jamani.
Hakika nyerere aliona mbali kuwa maadui wetu wa kuu ni Ujinga, Maradhi na Umasikini... Umasikini ni mbaya sana...prof amevalishwa miwani ya mbao! chezea $$$$$$$$
 
Inakuwaje mtu anaandamana kumpinga katibu mkuu wa chama cha upinzani ambae anakupigania dhidi ya ongezeko la bei ya umene, kodi mpya ya simu, ongezeko la rushwa mahakamani na polisi, kupanda kwa gharama za usafiri, kubambikiwa kesi mahakamani nk? Watanzania ni abnormal na ccm inajua Hilo ndio maana inawabebesha ma-abnormal mabango yenye handwriting ya mtu mmoja. We are abnormal.

Siyo kuwa WanaKigoma wanapinga mtoto wao kuonewa kwa sababu tu alikuwa na nia ya kugombea Uenyekiti?
 
Siyo kuwa WanaKigoma wanapinga mtoto wao kuonewa kwa sababu tu alikuwa na nia ya kugombea Uenyekiti?

Sasa hyu ndio ukanda/ukabila! Mbona hawakuandamana Mh. Kolimba alipouawa na CCM? Je, ni kwa sababu tu hakuwa mwanakigoma?
 
Siyo kuwa WanaKigoma wanapinga mtoto wao kuonewa kwa sababu tu alikuwa na nia ya kugombea Uenyekiti?

Sasa huu ndio ukanda/ukabila! Mbona hawakuandamana Mh. Kolimba alipouawa na CCM? Je, ni kwa sababu tu hakuwa mwanakigoma?
 
Kwanza naomba nitofautiane na wewe kuhusu hili neno "WANAKIGOMA". Nijuavyo mimi hili ni jina lililopikwa na wanasiasa uchwara ili wananchi wa kigoma wasiwakubali wanasiasa ambao hawana asili ya mkoa huo. Hakuna watu wanaoitwa wanakigoma Kama ambavyo hakuna watu waitwao WANAARUSHA, WANAKILIMANJARO, WANAMWANZA, WANAMBEYA, WANAIRINGA NK.
 
Hii abnormality unayoisema ndo inayofanya kila uchaguzi waichague CCM. Elimu zaidi ya ukombozi inatakiwa hasa mikoani hadi vijijini!

Anzia Dar!wasomi wengi ila abnormality ni severe kuliko hata wasiosoma!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Wapo wapumbavu wengine hapa kwa jina maarufu buku 7 ambao akili zao ni finyu sana. 24/7 utawaona hapa wakiandika pumba za kuwasifia mafisadi wanaowaweka mjini. Ukiwawekea picha za kuonyesha hali mbaya ya shule zetu na mahospitali na kuwauliza kama watakubali watoto wao wasome katika shule hizo zisizo na hadhi au ndugu zao wa karibu au wao wenyewe watakubali kutibiwa katika hospitali za kutisha wanaingia mitini bila kujibu swali.

Inakuwaje mtu anaandamana kumpinga katibu mkuu wa chama cha upinzani ambae anakupigania dhidi ya ongezeko la bei ya umene, kodi mpya ya simu, ongezeko la rushwa mahakamani na polisi, kupanda kwa gharama za usafiri, kubambikiwa kesi mahakamani nk? Watanzania ni abnormal na ccm inajua Hilo ndio maana inawabebesha ma-abnormal mabango yenye handwriting ya mtu mmoja. We are abnormal.
 
Ukishaungana na hii serikali ya ccm iliyojaa kila aina uofu na dhuluma za ufisadi lazima ujifanye kuwa na upungufu wa akili kidogo iliusihoji kwa yanayoendele. La sivyo ukiwa na akili timamu huwezi ukakubaliana na serikali isiyoelewa kwann nchi masikini haijui la kufanya ili kuondokana na umasikini zaidi viongozi wanapanga tu kutorosha rasimali ya nchi kwa manufaa binafsi ya kiufisadi na hakuna anayechuliwa hatua zaidi ya kulinda eti ni mwenzentu. Watanzania tuamke tulinde rasimali zetu dhidi ya viongoz wadhalimu na mafisida
 
Inakuwaje mtu anaandamana kumpinga katibu mkuu wa chama cha upinzani ambae anakupigania dhidi ya ongezeko la bei ya umene, kodi mpya ya simu, ongezeko la rushwa mahakamani na polisi, kupanda kwa gharama za usafiri, kubambikiwa kesi mahakamani nk? Watanzania ni abnormal na ccm inajua Hilo ndio maana inawabebesha ma-abnormal mabango yenye handwriting ya mtu mmoja. We are abnormal.

Nahangaika sana kukuelewa!
 
Back
Top Bottom