NgomaNgumu
Senior Member
- Nov 20, 2010
- 194
- 24
Kwa muda mrefu kumekua na makelele dhidi ya mafisadi na ufisadi kwa ujumla. Serikali iliyopo madarakani ikaamua hatua za makusudi za kupambana na hali hiyo kwa kuchagua viongozi wapya ambao watajaribu kupambana na hali hiyo. Cha kushangaza ni pale viongozi wachapa kazi kama vile nape wanapokatishwa tamaa kua wameingia kwa kasi na nguvu zao ni za soda. Hivi waTanzania tunajua tunachokitaka?
Wanajua na kutambua wanachokitaka.
Hawataki tu kuwa waumini wa maigizo yanayoigizwa nchini.
Mfano labda tujiulize tulipofurahi kwamba wezi wa Epa wanarudisha pesa zetu, ni kiasi gani kilirudi na kilirudishwa na nani na kiko wapi?
Tafakari!!
.

Kaka,
Hapo kwenye RED:
1. UNA MAANA GANI KUWA KUCHAGUA VIONGOZI WAPYA NI KUPIGANA NA ufisadi?...UNAWEZA UKATOA MFANO WA KAULI HIYO?...Kuna fisadi yeyote mliyepambana naye so far?..tutajie!
2.Hapo kwenye BLUU:
Unaposema kuwa viongozi hao WATAJARIBU, huoni kuwa hiyo ni tayari kauli ya KUSHINDWA?...Kwasasa hivi hatakiwi KUJARIBU, ...ni matendo tuu...Mambo ya kuanza kusherekea viongozi walioteuliwa badala ya kusubiri matokeo watakayoleta, ni upumbafu!