Awsom
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,085
- 307
Habarini Wadau,
Kwakweli sisi kama wananchi wa Tanzania hatutaweza kumpigia kura Mgombea yeyote wa CCM kwasababu hizi:-
1) Wamekuwa wanasiasa wenye Ahadi za uongo kwa miaka mingi.
Mfano mpaka sasahv Jiji kuu Tanzania yaani DSM watu wengi hawana maji safi ya uhakika wala umeme wa uhakika.
2) Kumekuwa na Viongozi wengi tu wa CCM wanaokamatwa katika WIZI na UFISADI wa mali za umma ila hawajashuhulikiwa na wanatamba na kutukana NA pia wanalindana na kuteteana.
3)Waalimu,Wakulima,Wafugaji,Wavuvi,Manesi,na Wanachuo wana madai yao mengi ila hayajashuhulikiwa zaidi ya kupewa ahadi hewa.
4) CCM imegeuka kuwa kama genge la Matusi,Mipasho tu na Kejeli badala ya SERA YA NAMNA YA KUMKOMBOA MTANZANIA MASIKINI Kuna watu wazima/wazee wanatoa matusi tu ya aibu badala ya kutuambia kwa mfano:-
-Kwanini Watanzania ni Masikini hivi
-Kwanini hatuna huduma bora za Afya,Wanafunzi wengi wanasomea chini
-Kwanini shilingi yetu inashuka thamani tofauti na wenzetu kama Kenya na kufanya hela kukosa umuhimu kabisa.
NI WAZO TU JAMANI.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.