Watanzania wazawa wengi wenye viwanda wanapitia changamoto za uendeshaji. Waziri wa viwanda jitathmini

KENTUFYA

Member
Nov 21, 2023
10
8
Hii ni kutokana wengi wanafungua viwanda kusupport nchi yao, lakini wanasiasa kutokana na maslahi yao, wanaingiza bidhaa nchini bila kodi na bidhaa hiyo hiyo inayozalishwa nchini inakuwa na kodi kibao.

Hatuwezi endesha nchi hivyo wanasiasa wanaharibu nchi kwa matumbo yao. Nilitegemea viwanda vya wazawa vingepewa kipaumbele kwa kodi au kupewa tender kwenye miradi.

Miradi inatolewa vitendea kazi wanampa mchina kusupply bongo kunawazalishaji wa bidhaa kama hivyo.

Rais Samia afanye kama Hayati Magufuli kwa maslahi ya nchi, fungia bidhaa zinazotoka nje kama ndani zinazalishwa bila kusikiliza wanasiasa.

Pia soma > Kwanini MO Dewji anataka kufunga kiwanda chake cha chai Nchini Tanzania? Bashe amgomea!
 
Najiuliza tu kama haya yanayotokea Rais angekuwa Magufuli. Masikini wangemcharura . Kiko wapi leo sasa. Pumzika JPM wewe ulikuwa Rais Bora kweli kweli
 
Kweli changamoto tumevilinda viwanda vya ndani vya sukari vikashindwa kuzalisha. Mpk sukari ikapotea sokoni na kufika bei 4500-5000 kwa KG.
Tujipange kuhusu wazawa na kuwalinda
 
Back
Top Bottom