Watanzania wazamia oman

Bambo

JF-Expert Member
May 18, 2009
238
50
Raia wa Tanzania wanaosafiri na ndege ya Oman (yaani OMANAIR)toka Dar es salaam wafikapo muscat hawaruhusiwi kutoka nje ya uwanja wa ndege hata kama wana long stay on transit.

Kutokana na kinachoelezwa kuwa wenzao wapatao 5 wamezamia mjini humo baada ya kupewa pass ya muda na kutoka airport kupelekwa kwenye hotel kwa vile kwa connection zingine kama za UK inabidi mtu akae masaa 15 kabla ya connection.

Nilishuhudia watanzania wengine ambao walilipishwa extra money $50 mjini dar kwa ajili ya hotel mjini muscat wakiambiwa kuwa abiria wa Dar es salaam hawaruhusiwi kupelekwa hotel nje ya airport.
 
Senior member: Source plzzzz!!!!
 
kuna source gani zaidi ya kusema nilishuhudia mwenyewe!!!!!
 
you can choose another airline if you think that is the problem!!! halafu hivi kuna hotel ndani ya airport? I dont think there is one!!!
 
hivi oman na sisi mbona hatutofautiani sana hata kiuchumi, ni kati ya nchi maskin vilevile wala hamna opportunity nyingi za mtu wa nje kutoka kimaisha, cjajua kama kuna watanzania wenzetu wako desperate kiasi hicho!
 
Back
Top Bottom