Watanzania wavurugana kisa Rais

Watanzania wavurugana kisa Rais

Yaonekana wewe ni wale watu wasiojulika

Swissme
swissme

Mkuu kweli una hofu sana kwenye awamu hii.
Inaonekana saa 12 jioni unajifungia ndani.
Ukisikia hodiii...lazima ushtuke kwanza halafu unatuma mtu aone kuna nani...
Ukisikia PA...lazima udondoke kumbe ni Okwi tu amefunga goli.
Osiwe na hofu mkuu, nchi hii ni ya amani kabisa, na wala hakuna mtu atakaye kufanya kibaya chochote kama una tabia mjema.
Chapa kazi kwa bidii ufurahie mema ya nchi.
Asante sana mkuu

swissme.
 
Sawa

Maneno "matamu", lakini yana "ukakasi" flani hivi kwa mbali.
 
Nimeona Magu anaukabila udini ubaguzi na roho mbaya kwa watanzania na hafai kuwa hata mwenyekiki wa mtaa.

Swissme
Imefikia hatua u declare kua una ugomvi binafsi na Magu, si kwa kumkosoa kiasi cha chuki.

All in all unahaki kikatiba kikubwa Amani!
 
Mkuu nataka nikusahihishe kidogo kichwa cha thread yako. Raisi ana jukumu la kuwaunganisha Watanzania bila kujali itkadi zao za kisiasa. Sasa kama Watanzania wanavurugana, kisa raisi, basi kichwa chako kilipaswa kuwa "Raisi awavuruga Watanzania"

Fikiria filosofia kidogo, katika suala la cause-effect. Hapa tuna Watanzania, Raisi na Vurugu. Effect hapa ni vurugu, hivyo cause in Watanzania au Raisi. Sasa kati ya Watanzania na Raisi nini kinatakiwa kitoke ili kusiwe na vurugu? Kwa mantiki ya thread yako tungepaswa kuondoa Watanzania ili tusiwe na vurugu.

OPtion 1: Ondoa Watanzania kusiwe na Vurugu?
Option 2: Ondoa Raisi kusiwe kusiwe na Vurugu?

Nadhani umeona lojiki.
Nimependa huu ufafanuzi wako ila kukusaidia tuu katika option zako wakuondoa hapo ni wananchi yaani watanzania waoondolewe UJINGA ili inch ipate siasa safi, uongozi bora na maendeleo
 
Nitasema kwa mfano. Sina nia ya kukashifu. Natumia mfano huu ili nieleweke kirahisi.

Ukizaliwa na kukulia karibu na choo kinachonuka mavi, siku akija mgeni anayetoka sehemu yenye hewa safi na kukuambia hapa kwako pananuka mavi, choo kichafu hicho kinatoa harufu, unaweza kukataa na kufikiri anakutukana.

Kwa sababu wewe ile harufubya mavi unaweza kuwa uashaizoea. Unaona shwari tu.

Ndicho kinachitojea hapa.

Wewe udhazoea harifu ya mavi.

Mimi nakwambia hapo oananuka mavi.

Unabisha.

Kwa sababu ushaiziea ile harufu ya mavi. Unaona kawaida.
Mfano wako haulandani'' inamaana we ni mgeni hapa nchini au yeye kama mwenyeji Tanzania nilini tulikaa bila amani ufananiashe na mtu aishie choo kinukapo??
 
Mfano wako haulandani'' inamaana we ni mgeni hapa nchini au yeye kama mwenyeji Tanzania nilini tulikaa bila amani ufananiashe na mtu aishie choo kinukapo??
Mabaya ya uongozi wa Tanzania ni kama harufu ya mavi.

Kukosa elimu ya uraia ni sawa na kukosa hewa safi.

Mtu mwenye elimu ya uraia akimwambia asiye na elimu ya uraia kwamba hii serikali inaharibu hapa, ni sawa na mtu anayetoka kwenye hewa safi akimwambia anayekaa karibu na choo kinachonuka hapa pananuka.

Anayekaa karibu na choo kinachonuka (aliyekosa elimu ya uraia) hawezi kujua kwamba kakosa elimu ya uraia, kwa sababu kukosa elimu hiyo ndicho kitu alichozoea.

Kama vile ambavyo aliyezoea harufu ya mavi karibu na choo anaweza asiijue harufu hiyo, kwa sababu kashaizoea.

Unapouliza lini tulikaa bila amani wakatikuna mbunge kapigwa risasi anaugulia Nairobi, watu wanatishiwa kila siku, watu wanaokotwa Coco Beach kila siku,unadhihirisha huna elimu ya uraia.

Kwako wewe nchi kukosa amani mpaka izuke vita.

Wakati kama mwananchi anaweza kuvunjiwa nyumba yake aliyoijenga kwa machozi,jasho na damu, licha ya kuwa na court order nyumba isivunjwe, hilo tu nchiishakosa amani.

Ndiyomaana nikasema unakaa karibu na choo muda mrefu mpakahujui harufu mbaya ya choo.

Akija mtu kukwambia hapa pananuka, unakataa.

Kwako wewe unaona sawa tu.
 
Chama kilicho madarakani kwenye nchi ya vyama vingi kimsingi hakipaswi kusifiwa wala kupongezwa kwa mazuri yote kinayoyafanya kwa sababu Ni wajibu wake na Mara nyingi Ni Yale yaliyo kwenye ilani yake ya uchaguzi. Kazi ya upinzani Ni kuonyesha kwamba chama tawala ni dhaifu ili uchaguzi unaofuata kisipate nafasi tena . CCM lazima itimize ahadi zake ili kuvinyima vyama vya upinzani mwanya was kuikosoa. Kwa hali ilivyo upinzani utapinga kila kitu na CCM itatumia mbinu zozote kuhakikisha kinabaki madarakani na hapo ndiyo kuvurugana huku kutaendelea.
 
Mkuu, swissme.

Sijawahi kukusoma hata siku moja kwa kuisifia Serikali kwa jambo lolote.
Ivi ni kweli hujaona kitu cha maana japo kimoja ambacho serikali ya CCM imekifanya toka Uhuru?
Au kwenye awamu hii ya tano ?
Au kwa sababu tu wewe ni Chama mbadala ambacho wengine wanakiita chama cha Upinzani.
Hivyo na wewe lazima uwe Mpinzani.

swissme

Nimsadie Swissme kujibu swali lako...

Yes, hakuna hata kitu kimoja cha maana kilichofanywa wala kuletwa na CCM..!!.

Na wewe labda ujibu swali hili, kwamba, hii kitu inayoitwa CCM ni nini kwani na inawezaje kuleta jambo zuri ama baya kwa namna yoyote ile labda?

Hebu tuambie, wewe umeona kitu gani kizuri kilicholetwa na hii kitu iitwayo CCM??

Najua waweza kusema CCM imeleta jua, mwezi, njia za kutembelea ama barabara, maji nk....

Ukijibu hivyo utakuwa hamnazo kweli kweli kwa sbb hayo yooooote, naturally yapo na yatakuwapo tu hata kama tusingekuwa na kiumbe hatarishi aitwaye Chama Cha Makinikia - CCM!!!
 
Asante ndugu
Kitaturu,

Kwa kuniuliza swali zuri sana, na kwa kunisaidia kunijibia hilo swali,
na kulihitimisha vizuri, na kulisahihisha kwa umakini mkubwa.
Hilo ndilo jibu sahihi unalopaswa kijibiwa kwa mtizamo wako.
 
Nimependa huu ufafanuzi wako ila kukusaidia tuu katika option zako wakuondoa hapo ni wananchi yaani watanzania waoondolewe UJINGA ili inch ipate siasa safi, uongozi bora na maendeleo

Hahaha! Mkuu, suala la siasa safi na uongozi bora haliko katika wananchi, bado liko katika Raisi. Na maendeleo ni matokeo yanayohusiana na wote wananchi na Raisi, lakini zaidi Raisi.In fact hata siasa safi ni matokeo ya uongozi bora = Raisi bora.

Hivyo bado unarudi kwenye Option namba 2: Ondoa Raisi
 
Kwa nchi ambazo wananchi wake wanajielewa mafisadi wasingekua wanaishi kwa jeuri na kukebehi watu hadharani wangekua washa andamana ama kuwafanyia chochote kuwaondoa amadarakani.
Lakini watanzania fisada anashangiliwa, kiongozi anatukana watu wanashangalia, wanavunja katiba wamekaa kimya sasa unataka uondoe rais utawaondoa wangap???

Tatizo la Tanzania si uongozi ni raia kwasababu uongozi una reflect waongozwao
 
Watu tulizoea bata za JK na kudeki lami pamoja na kuzungusha miikono sasa huu mchaka mchaka wa huyu NGOSHA ni hatari
 
Magufulianaiharibu sana hii nchi, watu hawatakiwi kukaa kimya kuachia hilo.

Leo hii lazima tumuone ni mbaya lakini akijakutoka madarakani tutamlilia na kumuona ni shujaa. Siku zote kitu kizuri Hutambulika Baada ya kukikosa. Tupige moyo konde.
 
Leo hii lazima tumuone ni mbaya lakini akijakutoka madarakani tutamlilia na kumuona ni shujaa. Siku zote kitu kizuri Hutambulika Baada ya kukikosa. Tupige moyo konde.
Jisemee mwenyewe.

Kuna watu wanamuona Kikwete kuwa mzuri na shujaa kwa sababu ya huyu.Kwa mawazo dhaifu.

Kikwete anawezekana kuwa mzuri zaidi ukimlinganisha na huyu, lakini kwa watu wenye misimamo yetu,tumeusema udhaifu wa Kikwete alivyokuwa rais ambao mpaka sasa tunauona bado.

Kwa hiyo, hata akija rais mbaya kuliko huyu, hilo haliwezi kunifanya nimsifie Magufuli.

Huo utakuwa udhaifu wa mawazo.

Sina tabia hiyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom