Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,670
- 6,461
Alamsiki wanajamvi...
Hali ya siasa hapa nchini inazua taharuki kwa mfuatiliaji yeyote anayefuatilia maswala ya siasa zetu hasa mitandaoni.
Katika mambo mbali mbali yanayojitokeza katika medani za siasa na uongozi.
Matukio yanayosibu viongozi wa upinzani:
Billa shaka tuliona umoja wa watanzania walipojngana kumtakia heri mh Tundu alipo patwa na balaa, japo walikuwepo wasio na utu wakadhihaki.
hali hua tofauti pindi anapo husishwa mh rais wetu katika maswahibu ya upinzani au wanaharakati wengine au anapotoa kauli zenye utata wazi wazi na maumivu.... Hapo ndipo utaona mvurugano wa watanzania yaani kuna watakao sapoti na watakaokosoa na mwisho wa siku ni kutukanana mitandaoni.
Madhara yake:
Matumizi mabovu ya mitandao kwa kurushiana matusi hayawezi wajenga viobgozi wetu na mwisho wasiku tutazidi kutawaliwa hovyo hovyo maana wengi hawajitambui.
Tutashindwa kusaidiwa na dunia pindi yatakapotufika mabaya zaidi, kutoka upande wowote kama inafikia hata dalili mbaya tutaziweka kishabiki.
Pole yangu kwa chama kikuu cha upinzani ni kushughulika na watu wasiohitaji msaada wao eitha kwa kuelewa ama kutojielewa, kikubwa wajali usalama wao.
Ahsante