Watanzania washushwa ndege ya Precision Air

Hii yote ni kwa sababu Precisionair wana monopoly ya usafiri wa anga hapa Tanzania. Si mara ya kwanza abiria kucheleweshwa, imagine mtu unaamka saa kumi na nusu alfajiri ili uweze kuondoka saa moja asubuhi halafu unaambiwa utaruka saa tano asubushi! huu ni uhuni mtupu. Nimechoshwa na hawa Precisionair, kwanza bei ya kusafiri peke yake inanitia kichefuchefu. Kusafiri from KIA to Dar na kurudi ni zaidi ya Tshs. 370,000/- kwa mtu halafu unakumbana na matusi kama haya. Sijui ni lini hawa Precisionair watapata competitors, nasikia airline zingine zikitaka ku - operate hapa TZ wanafanyiwa mizengwe ili wasipewe leseni, na hata wakipewa leseni huzuiwa ku-operate kwenye route za Precisionair! Hivi ingelikuwa ni airline ya kizungu wangewashusha waafrika kweli, bila kuzingatia ethics za biashara?
 
Watanzania tukimbilie wapi? Hivi hili shirika la ATCL ni vipi bado halijasimama, TZ government whats going on?? jamani kweli Miafrika ndivyo tulivyo, matatizo mpaka siku ya mwisho.
 
Najua ni vigumu kueleza maana linatia uchungu lakini hili ni swala la kawaida katika mambo ya ndege. Uamuzi wa kuwapandisha watu wengine si la kibaguzi ila ni la kiupendeleo (preference).

Inatokea katika uendeshaji wa ndege. Kwa mfano taratibu za ndege zinaeleza kwamba abiria anaye connect na ndege nyingine anapewa upendeleo kuliko abiria anayekwenda moja kwa moja. Akiachwa abria anaye connect kwa ndege nyingine gharama zake ni kubwa kuliko abiria anayekwenda moja kwa moja.

Vile vile utaratibu wa ndege kawaida upendelea watu wanaosafiri pamoja (group) kuliko mtu mmoja mmoja. Sababu ni zile zile ukiacha group madhara yake ni makubwa kuliko mtu mmoja mmpja.

Upendeleo wa mwisho ni ule wa VIP. Ni kawaida abiria kushushwa na kumpa nafasi mtu au watu mashuhuri. Ni maamuzi ya utatanishi lakini mara nyingine hali inabidi iwe hivyo. Hili la Precision Air sijui ilikuwaje lakini nakisia wale abiria wazungu walikuwa na connection huko mbele ya safari na hivyo kupewa kipaumbele sio ubaguzi as such.
 
Aksante mkuu
Hapa umetuelimisha vya kutosha. Hasira zangu zimepungua kwa kuona watanzania wenzangu walikua wakibaguliwa kumbe sio kweli. Ni utaratibu wa kazi tu ndo umefuatw. Big up
 
Watanzania tukimbilie wapi? Hivi hili shirika la ATCL ni vipi bado halijasimama, TZ government whats going on?? jamani kweli Miafrika ndivyo tulivyo, matatizo mpaka siku ya mwisho.

kuna mahali pa kukimbilia ni kwenye Fair Competition Tribunal ambayo moja kati ya vitu inavyoshughulikia ipo kwenye kifungu cha 61 cha sheria iitwayo The Fair Competition Act:

"No person shall use physical force or undue harassment or
coercion in connection with the supply or possible supply of goods
or services to a consumer or the payment for goods or services by
a consumer."

Sheria inayounda baraza hilo inasema ifuatavyo:

There shall be established a tribunal which shall be known as the
Fair Competition Tribunal to exercise the functions conferred upon
it by this Act.

Sheria hiyo itashughulikia mambo yafuatayo:

(1) The Tribunal shall have jurisdiction–
(a) to hear and determine any complaint on a fair competition
referred to it under the provisions of this Act;

Waambie wahanga wa tukio hiko ,kama unawafahamu wachamkie tenda, wasilaze damu kama watanzania tulivyo.
 
Byasel una uhakika na ulichokiandika?? Tupe uthibitisho! Lakini hata kama ni kweli, je hawa watanzania wenzetu walijulishwa hilo??
 
mara zote wazungu wanatutawala tukiwapa nafasi ya kufanya hivyo, sasa ujinga kama huo wa kujiona wewe si mbora kuliko mzungu kwa nini asikutawale?kama ulifika kiwanjani kwa ajili ya ndege ya saa 1.00 asubuhi na ukaondoka saa 11.00 jioni, si bora mtu angepanda basi tu
 
hivi jamani tuna serikali kweli????

Nilitaka kukuambia serikali gani? ila Serikali ipo tatizo ni hatujua nani ndio nani na yupi anatakiwa kusema na yupi atekeleze kila kukicha kwakucha na style za ajabu kila mtu siku hizi ni mtawala

hivi jamani tuna serikali kweli???? mnamsahau mwananchi kweli jamani /machozi yamenitoka...nina uhakika hao walioshushwa walikuwa ni wafanyabiashara wajenzi wa nchi

PCCB aka TAKUKURU ikachunguze nako huko mwaonaje???

Mkichagua CHAMA LA OVYO OVYO, litaleta viongozi wa Ovyo ovyo.

Hawa viongozi wataweka uongozi wa Ovyo ovyo hadi kwenye mashirika ya UMMA.

Mwisho wake TANESCO, ATCL, NBC nk zitakuwa na viongozi wa OVYO OVYO.

Mashirika haya yatakuwa ya OVYO OVYO na mwisho yatabaki mashirika yao kama Precion Air.

Mwisho wa siku mtapata huduma za ovyo ovyo na mbaki mkilia ovyo ovyo.

Kama ingelikuwepo ATCL, haya yasingelikuwepo.

Kama yangelikuwepo, basi yasingelifika katika ukubwa huu.

Sasa muende wapi? JF? Kwa waandishi wa habari? Mahakamani?

Muda umepoteza na Mzungu kakufunga goli moja.

Sidhani Wachina wangeliweza kufanya huu upuuzi. Nyani Ngabu is right.
 
yaani tunawapa wazungu first priority wakati wao huwa wanatupa last priority.
 
Najua ni vigumu kueleza maana linatia uchungu lakini hili ni swala la kawaida katika mambo ya ndege. Uamuzi wa kuwapandisha watu wengine si la kibaguzi ila ni la kiupendeleo (preference).

Inatokea katika uendeshaji wa ndege. Kwa mfano taratibu za ndege zinaeleza kwamba abiria anaye connect na ndege nyingine anapewa upendeleo kuliko abiria anayekwenda moja kwa moja. Akiachwa abria anaye connect kwa ndege nyingine gharama zake ni kubwa kuliko abiria anayekwenda moja kwa moja.

Vile vile utaratibu wa ndege kawaida upendelea watu wanaosafiri pamoja (group) kuliko mtu mmoja mmoja. Sababu ni zile zile ukiacha group madhara yake ni makubwa kuliko mtu mmoja mmpja.

Upendeleo wa mwisho ni ule wa VIP. Ni kawaida abiria kushushwa na kumpa nafasi mtu au watu mashuhuri. Ni maamuzi ya utatanishi lakini mara nyingine hali inabidi iwe hivyo. Hili la Precision Air sijui ilikuwaje lakini nakisia wale abiria wazungu walikuwa na connection huko mbele ya safari na hivyo kupewa kipaumbele sio ubaguzi as such.
Nimekusoma vizuri. Maana yake ni kwamba, hao "mmoja mmoja" sio rahisi wao kudai fidia wakapata, au sio?
Maelezo yako yamesaidia, lakini tatizo liko pale pale. Mara nyingi watu husafiri kwa ndege ili kuwahi. Hao waliocheleweshwa kwa karibu saa 12, bila shaka watadai fidia.
 
Najua ni vigumu kueleza maana linatia uchungu lakini hili ni swala la kawaida katika mambo ya ndege. Uamuzi wa kuwapandisha watu wengine si la kibaguzi ila ni la kiupendeleo (preference).

Inatokea katika uendeshaji wa ndege. Kwa mfano taratibu za ndege zinaeleza kwamba abiria anaye connect na ndege nyingine anapewa upendeleo kuliko abiria anayekwenda moja kwa moja. Akiachwa abria anaye connect kwa ndege nyingine gharama zake ni kubwa kuliko abiria anayekwenda moja kwa moja.

Vile vile utaratibu wa ndege kawaida upendelea watu wanaosafiri pamoja (group) kuliko mtu mmoja mmoja. Sababu ni zile zile ukiacha group madhara yake ni makubwa kuliko mtu mmoja mmpja.

Upendeleo wa mwisho ni ule wa VIP. Ni kawaida abiria kushushwa na kumpa nafasi mtu au watu mashuhuri. Ni maamuzi ya utatanishi lakini mara nyingine hali inabidi iwe hivyo. Hili la Precision Air sijui ilikuwaje lakini nakisia wale abiria wazungu walikuwa na connection huko mbele ya safari na hivyo kupewa kipaumbele sio ubaguzi as such.

Wanaachwa kwa ustaraabu fulani na utaratibu unaoeleweka kwa mfano kulipwa gharama za usumbufu baada ya kuelezwa position ilivyo. Sidhani kama wanatakiwa kufanya usanii ( sina neno la karibu kuelezea hiyo) kama walivyofanya watu wa precision.
 
ndugu sio bongo kaka vinginevyo watu tungekuwa tumetajirika na ATCL hivi sasa....we ukipanda ndege shukuru mungu umetua salam mengine mwachie MUNGU
 
Pdidy, unachosema ni barabara lakini tukumbuke kila kitu kina mwanzo, nadhani kwenye sekta ya usafiri wa anga hapa ndipo mahali pa kuanzia badala ya kukaa na kuandika this, that, who, how, when etc ambazo hazisaidii waathirika, naona inabidi wapewe mwamko wa jinsi ya kudai haki zao nina uhakika kuwa baraza litawasikiliza na watapewa fidia. Wawe encouraged to go for legal redress.
 
Hivi supplier wao wa mafuta ya ndege na za kuendeshea mitambo kama Ground handling equipment ni nani? au wana visima vyao! mmmmmh hii kazi inahitaji ujiandae! Dont start a project if you do not have all the materila around
 
kumbuka ....aikujengwa siku moja...tusiwakatishe tamaa....
 
hakuna kitu kinachoniuma na nisichokipenda kama plae ninaponyanyasika wakati natumia hela yangu.vitu kama hivi vinatokea kutokana na kukosa umoja kati yetu sisi watanzania na pia sisi ni waoga mno inapokuja swala la kudai haki zetu.kama hawa abiria wakitanzania walio teremshwa kuwapisha wageni wangekuwa na umoja basi wangezua mgomo mzito hapo kiwanjani na wangepewa usafiri.

watanzania tunanyanyasika sana kila kona huku watu wakitumia neno tuna amani kujifariji.amani ya kutoweza kudai haki yako hio sio amani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom