mfumuko wa bei unapunguaKwa nini bei ya Nyama imeshuka sasa?
Rais aliwahi kusema. wale wanaoona fedha imepungua mifukono mwao ni wale ambao walikuwa wakipata fedha kwa njia haramu. Kwa kweli mimi kama mimi bado sijaona tofauti kati ya maisha katika serikali ya awamu ya nne na hii. Fedha inapatikana kwa kufanya kazi kwa bidii. Itoshe kwa leo kuyasema hayo.Serikali ya awamu ya tano imekuwa ikijinasibu kwamba ina kazi ya kutetea wanyonge na masikini wa nchi hii.
Kama taifa hatujapata tafsiri ya hakika ya "mnyonge" pengine masikini tunaweza kuelewa.
Bajeti imepita, maisha yanaendelea, wale wanyonge na masikini mpaka sasa mmeona dalili za unafuu tangu serikali iingie madarakani?
Binafsi ninachokiona ni umasikini mkali kupindukia na uliokosa suluhisho la muda mfupi na mrefu,badala yake tunaambiwa tulizoea hela za bure na hatufanyi Kazi.
Sheria kandamizi za kodi ikiwamo ile ya miamala zinapigilia misumari kwenye umasikini huh kwa kuwa serikali imelenga kuzipata hata elfu mbilimbili za masikini.
Kwa upande wa unyonge ndio haswa,hakuna anqyejua unyonge ni nini mpaka sasa pengine ikiwamo hao wanaotuhubiria.
Ewe maskini na mnyonge, hebu tuambie mwenzetu. Maisha yako sasa yako vizuri, angalau hata dalili?
Umeanzia mbali, hapa kwetu Dodoma fungu la mchicha ni sh 50/-Maisha yamekua mepesi sana.
Manoti hayakauki mfukoni
Sukari kilo imeshuka toka 2000 mpaka 3500
Fungu la mchicha limeshuka toka 200 hadi 500
Inshort mambo yapo gudi.
Huyu atakua na above 25Nimetumia nusu saa kufikiri ntarudii nipo busy na tafuta ada ya dogo amekosa shule advance na vigezo anavyo et shule zimejaa![]()
Ikumbukwe CBG siku hizi naelekea kubayaaashule chache serikali imelala tu kila mwaka waseme shule chachemaana CBG ni comb rahisi sana kuanzisha kwenye shule yenye PCB na HGL haihitaji hata walimu wa ziada!
Hebu tupe mfano wa alichikigusa ambacho kiliwashinda wengine..??Angalau serikali ya awamu ya tano imethubutu kuwagusa wale waliokuwa hawagusiki, kufanya yale yaliyoonekana haiwezekani. Kwa sababu hiyo maisha bora kwa Mtz yanaonekana japo kwa mbali. Tumaini jipya limezuka ndani ya mioyo ya wengi. Inajionyesha dhahiri Tz iliyonyooka inakuja na ile ya ujanjajanja inelekea kaburini. Usitake kuleta mihemuko, maskini na wanyonge tunatambua hiki ni kipindi cha mpito. Mambo mazuri yanahitaji muda na gharama.
Huyu atakua na above 25
Naomba unisaidie mahesabu yaliyopelekea matumizi yako ya umeme yashuke toka 40,000 hadi 10,000. Tafadhali nenda item by item kwa kila ambacho serikali imepunguza ili na sisi wengine tupate elimu na tupunguze gharama hizo.Tatu, Kushuka bei ya umeme majumbani, sahivi mie nalipia 10000 mwezi mzima wakati nilikuwa lazima nitoe 40000.
Dah.....utakuwa jipu tu wewe..Serikali ya awamu ya tano imekuwa ikijinasibu kwamba ina kazi ya kutetea wanyonge na masikini wa nchi hii.
Kama taifa hatujapata tafsiri ya hakika ya "mnyonge" pengine masikini tunaweza kuelewa.
Bajeti imepita, maisha yanaendelea, wale wanyonge na masikini mpaka sasa mmeona dalili za unafuu tangu serikali iingie madarakani?
Binafsi ninachokiona ni umasikini mkali kupindukia na uliokosa suluhisho la muda mfupi na mrefu,badala yake tunaambiwa tulizoea hela za bure na hatufanyi Kazi.
Sheria kandamizi za kodi ikiwamo ile ya miamala zinapigilia misumari kwenye umasikini huh kwa kuwa serikali imelenga kuzipata hata elfu mbilimbili za masikini.
Kwa upande wa unyonge ndio haswa,hakuna anqyejua unyonge ni nini mpaka sasa pengine ikiwamo hao wanaotuhubiria.
Ewe maskini na mnyonge, hebu tuambie mwenzetu. Maisha yako sasa yako vizuri, angalau hata dalili?
Kusema ukweli ni tiba kuliko kujitwika jakamoyo la uongo, we mwenyewe ni masikini mbwa hapo, asilimia kubwa ya watanzania ni masikini hakuna la kupinga hilo na si kama kuwa wanaupenda umasikinUnyonge Na umasikini siyo sifa nzuri bali upum..bavu WA kujitakia. A man is responsible for his own development, his family and nation acheni kukumbatia umasikini.
Kusema ukweli ni tiba kuliko kujitwika jakamoyo la uongo, we mwenyewe ni masikini mbwa hapo, asilimia kubwa ya watanzania ni masikini hakuna la kupinga hilo na si kama kuwa wanaupenda umasikin
Watoto wa masikini wataendelea kusoma shule za kata na kupata div 0 shule nzima. halafu mtu anashangilia eti serikli imewanyooshaNaona hata JF wale jamaa wana majibu kama haya,wao hawadili na ishu,wanadili na watu.
Hapo ndipo wanapowadanganya watanzania.Watanzania hawahoji tena mambo ya msingi,wanasubiri mkubwa fulani kamfukuza mwenzie,akirudi nyumbani hana chochote kabakiza stork tu kwa Mke NA wanae wanaopiga miayo.