Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,274
- 44,751
wadanganyika wanataka haki na matumaini ya maisha dhidi ya mgawanyo sawa wa rasilimali zao zinazozurumiwa na utawala wa ccm kama ardhi,madini,hifadhi za wanyama n.k
Swali hili labda ni swali kubwa na la msingi ambalo watu wanahitaji kuona linajibiwa wanavyoona CDM inajipanga kushika madaraka. Haitoshi kuunga mkono CDM kwa sababu ya kuchukia CCM au kutokubaliana na sera za CCM. Watu wanapounga mkono CDM au kujiunga na CDM ni kwa sababu wana matarajio fulani au matumaini fulani. Matumaini hayo yanawafanya wawe tayari kuunga mkono CDM na hata kujitolea kwa mambo mbalimbali. Ni nini basi Watanzania wanataka?
Kisheria: NI sheria gani ambazo CDM itafanyia mabadiliko au inapaswa kufanyia mabadiliko? Yaani, Sheria ambazo CCM imeshindwa kuzifanyia mabadiliko au imefanyia mabadiliko ya juu kwa juu. Au sheria za hivi sasa ndizo zitaendelea kutumika chini ya CDM?
Kimfumo: Mfumo wote wa utawala uliopo sasa umetengenezwa na serikali ya CCM na matokeo yake tunayaona. Je chini ya CDM ni vitu gani vitabadilika? Jeshi la Polisi, Jeshi, usalama, wizara n.k vitakuwaje?
Kuwajibishana: Mojawapo ya matatizo ambayo tunayaona sana - na hasa siku za karibuni - ni jinsi gani CCM iko goigoi katika kuwajibisha serikali yake na hata huko serikalini utamaduni wa kubebana ulivyozoeleka. Je chini ya CDM watu watarajie nini?
Na mambo mengine mengi. Ndio hapa nauliza kwa wale wapenzi na wanachama wa CDM wanatarajia nini kutoka kwa utawala wa CDM tofauti na yale yanayofanywa au kufanyika chini ya utawala wa CCM? Au labda niulize kivingine ; ni mambo gani ambayo ukiyajua sasa kuwa CDM itayatekeleza ikishika madaraka yatakutia hamasa zaidi kuunga mkono, kujiunga au kuwa sehemu ya M4C?

Ni nini basi Watanzania wanataka?

Wakati natafakari maswali yako nikakutana na hicho nilichokinukuu cha uwajibikaji na naomba nikielezee kwa ufupi kwasababu kipo katika wakati muafaka.Mzee Mwanakijiji;3923864]Kuwajibishana: Mojawapo ya matatizo ambayo tunayaona sana - na hasa siku za karibuni - ni jinsi gani CCM iko goigoi katika kuwajibisha serikali yake na hata huko serikalini utamaduni wa kubebana ulivyozoeleka. Je chini ya CDM watu watarajie nini?
Mada inauliza Watanzania wanataka nini kwa CHADEMA. Ndani ya maudhui mwandishi anawauliza CHADEMA watawafanya nini kwa Watanzania!
He is among the most dedicated and foremost opinion leaders of the day but he is also a terribly shambolic and incoherent commentator.
Mada inauliza Watanzania wanataka nini kwa CHADEMA. Ndani ya maudhui mwandishi anawauliza CHADEMA watawafanya nini kwa Watanzania!
He is among the most dedicated and foremost opinion leaders of the day but he is also a terribly shambolic and incoherent commentator.
Swali hili labda ni swali kubwa na la msingi ambalo watu wanahitaji kuona linajibiwa wanavyoona CDM inajipanga kushika madaraka. Haitoshi kuunga mkono CDM kwa sababu ya kuchukia CCM au kutokubaliana na sera za CCM. Watu wanapounga mkono CDM au kujiunga na CDM ni kwa sababu wana matarajio fulani au matumaini fulani. Matumaini hayo yanawafanya wawe tayari kuunga mkono CDM na hata kujitolea kwa mambo mbalimbali. Ni nini basi Watanzania wanataka?
Kisheria: NI sheria gani ambazo CDM itafanyia mabadiliko au inapaswa kufanyia mabadiliko? Yaani, Sheria ambazo CCM imeshindwa kuzifanyia mabadiliko au imefanyia mabadiliko ya juu kwa juu. Au sheria za hivi sasa ndizo zitaendelea kutumika chini ya CDM?
Kimfumo: Mfumo wote wa utawala uliopo sasa umetengenezwa na serikali ya CCM na matokeo yake tunayaona. Je chini ya CDM ni vitu gani vitabadilika? Jeshi la Polisi, Jeshi, usalama, wizara n.k vitakuwaje?
Kuwajibishana: Mojawapo ya matatizo ambayo tunayaona sana - na hasa siku za karibuni - ni jinsi gani CCM iko goigoi katika kuwajibisha serikali yake na hata huko serikalini utamaduni wa kubebana ulivyozoeleka. Je chini ya CDM watu watarajie nini?
Na mambo mengine mengi. Ndio hapa nauliza kwa wale wapenzi na wanachama wa CDM wanatarajia nini kutoka kwa utawala wa CDM tofauti na yale yanayofanywa au kufanyika chini ya utawala wa CCM? Au labda niulize kivingine ; ni mambo gani ambayo ukiyajua sasa kuwa CDM itayatekeleza ikishika madaraka yatakutia hamasa zaidi kuunga mkono, kujiunga au kuwa sehemu ya M4C?
Cdm ni kikundi cha watu wenye stress za maisha.
watanzania wengi tuna stress za maisha sababu ya kukosa huduma za kijamii na uhakika wa kesho. kurudi kwenye mada mimi ninachokitaka CDM ihakikishe hii nchi na watendaji wanafuata na kuogopa mfumo wa sheria na taratibu zilizopo. mambo ya ahadi nzuri za elimu bora na maisha mazuri hata CCM wanezitoa sana sema hawakufuata sheria na taratibu katika kuzitekeleza. mfano mikataba mibovu ya madini inaingiwa sababu sheria za uwazi zinakiukwa mambo yanafanyika kisirisiri pia sheria za ardhi zinakiukwa na kuteletea migogoro vivyo hivyo sheria za tenda. yote hayo yanawezekana iwapo viongozi hawatakuwa waoga katika kuwajibishanaCdm ni kikundi cha watu wenye stress za maisha.