WATANZANIA WANATAKA MAENDELEO SIO SIASA

jaruri

JF-Expert Member
Jul 16, 2014
717
459
Nimesoma Uzi wa ndugu yangu humu jamii forums akilalamika kuwa rais kazuia siasa hadi 2020 napenda nimtaarifu kuwa watanzania hawataki siasa wanataka maendeleo,Rais ana jimbo lake moja ambalo ni the united republic of Tanzania ana Uhuru Wa kutembea na kuhutubia popote na muda wowote katika kuhakikisha anatekeleza ilani ya chama chetu pendwa CCM ,wabunge na madiwani pia wana ruhusa ya kufanya siasa za maendeleo kwenye majimbo yao Massa 24 Siku saba za week sky is the limit ,sasa ndugu yangu huyu anaelalamika anataka mini zaidi? Au alitaka campaign ziendelee hadi 2020 ? If you think you have a freedom not to that extent,,campaign zilikwisha 2015 tukapata Rais ambae ni Dr Magufuli kwa sasa ni kazi campaign subirini 2020
Wasalaam ,By me Bloody Tanzanian
 
Julius Nyerere speech on :What is the purpose of Development:

Economic Development (Goods ) vs Freedom & Dignity of a Man

Source: Afromarxist
 
Nimesoma Uzi wa ndugu yangu humu jamii forums akilalamika kuwa rais kazuia siasa hadi 2020 napenda nimtaarifu kuwa watanzania hawataki siasa wanataka maendeleo,Rais ana jimbo lake moja ambalo ni the united republic of Tanzania ana Uhuru Wa kutembea na kuhutubia popote na muda wowote katika kuhakikisha anatekeleza ilani ya chama chetu pendwa CCM ,wabunge na madiwani pia wana ruhusa ya kufanya siasa za maendeleo kwenye majimbo yao Massa 24 Siku saba za week sky is the limit ,sasa ndugu yangu huyu anaelalamika anataka mini zaidi? Au alitaka campaign ziendelee hadi 2020 ? If you think you have a freedom not to that extent,,campaign zilikwisha 2015 tukapata Rais ambae ni Dr Magufuli kwa sasa ni kazi campaign subirini 2020
Wasalaam ,By me Bloody Tanzanian
Wanataka maendeleo ya nini? kama wameshindwa kuyapata ndani ya miaka 55 ya uhuru watayapata leo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom