Watanzania wanasubiri Polepole na Gwajima wawakomboe

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,169
Reaction score
48,681
Mimi baada ya kuona wajinga ni wengi sana wamejaa kwenye kapu nikaamua kutoka nje ya kapu.

Nilikuwa najua Watanzania wengi ni wajinga lakini sikujua kuwa ni wengi kwa kiasi hichi.

Kitendo cha Watanzania wapenda mabadiliko kuanza kuwategea sikio la matumaini Gwajima na Polepole kilitosha kujua watu wengi katika nchi hii ni matahira.

Zaidi ya 75% ni matahira.

Mtu aliyekukandamiza kwa miaka kadhaa Leo hii unamuunga mkono 😭😭😭.

Gwajima alichangia kwa % kubwa kuvuruga upinzani 2015 ambapo upinzani walipata penalt dk ya 1.

2011-2015 wapinzani waliimba CCM na Lowasa ni mafisadi, mpaka watoto wadogo walijua kuwa Lowassa ni fisadi papa , CCM ni majangiri.

Ghafla Gwajima kamleta Lowasa CHADEMA, ahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 Polepole ndo usiseme kabisa.

Miaka 5 CHADEMA hawakupata ruhusa kueleza jambo lolote kwa wananchi. Hata vikao vya ndani walitumiwa polisi, kipindi hicho Polepole na Magufuli wakijenga chama na kujijenga wao wenyewe.

Nilipoona Wapinzani wanawaunga mkono hawa matapeli wa kiasiasa sitaki kabisa kusikia habari za upinzani.
Lissu atoke akaishi ULAYA kwa wenye akili wenzake.

Mwisho: Watanzania acheni kukwepa kodi, Samia anataka atujengee nyumba watumishi wote wa umma. Lipeni kodi tafadhali
 
Wewe ulichobakisha ni
IMG_2353.jpeg
 
2011-2015 wapinzani waliimba CCM na Lowasa ni mafisadi, mpaka watoto wadogo walijua kuwa Lowasa ni fisadi papa , CCM ni majangiri. Ghafla Gwajima kamleta Lowasa CHADEMA, ahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣
Polepole ndo usiseme kabisa.

Samia fisadi na katili, ananunua saa za gharama. Watoto wanaendesha magari ya bei ya juu na hana huruma na kina mama wanaolala sakafuni wakati wa kujifungua. Mungu hadhihakiwi, kuna siku ataonyesha utukufu wake na nyie mtamkana huyu huyu Samia.
 
Kwa amusha anayofanya Polepole ni bora aungwe mkono, kama inakukera pita hivi
 
Ngoja nikujibu kwa ufupi kabisa.

Kila jambo na wakati wake, usikaze shingo 2015 wakati leo hii ni 2025
 
Mimi baada ya kuona wajinga ni wengi sana wamejaa kwenye kapu nikaamua kutoka nje ya kapu.
Nilikuwa najua Watanzania wengi ni wajinga lakini sikujua kuwa ni wengi kwa kiasi hichi.
Kitendo cha Watanzania wapenda mabadiliko kuanza kuwategea sikio la matumaini Gwajima na Polepole kilitosha kujua watu wengi katika nchi hii ni matahira.
Zaidi ya 75% ni matahira.
Mtu aliyekukandamiza kwa miaka kadhaa Leo hii unamuunga mkono 😭😭😭.
Gwajima alichangia kwa % kubwa kuvuruga upinzani 2015 ambapo upinzani walipata penalt dk ya 1.
2011-2015 wapinzani waliimba CCM na Lowasa ni mafisadi, mpaka watoto wadogo walijua kuwa Lowasa ni fisadi papa , CCM ni majangiri. Ghafla Gwajima kamleta Lowasa CHADEMA, ahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣
Polepole ndo usiseme kabisa.
Miaka 5 CHADEMA hawakupata ruhusa kueleza jambo lolote kwa wananchi. Hata vikao vya ndani walitumiwa polisi, kipindi hicho Polepole na Magufuli wakijenga chama na kujijenga wao wenyewe.
Nilipoona Wapinzani wanawaunga mkono hawa matapeli wa kiasiasa sitaki kabisa kusikia habari za upinzani.
Lissu atoke akaishi ULAYA kwa wenye akili wenzake.
Mwisho: Watanzania acheni kukwepa kodi, Samia anataka atujengee nyumba watumishi wote wa umma. Lipeni kodi tafadhali
Kweli maisha yanaenda kasi sana...Tanzania imekuwa taifa la raia wake kuikimbia nchi. Hizi story za raia wakosoaji kukimbia nchi zao tulikuwa tunazisikia kwa akina Kagame na zamani kwa madikteta kama Idd Amini, Gaddafi. issues tulizokuwa tunafundishwa darasani na walimu kutolea mifano ndio tunazishuhudia live kwa Sasa, akina polepole, maria, gwajima n.k wanakimbia taifa lao.
 
Mimi baada ya kuona wajinga ni wengi sana wamejaa kwenye kapu nikaamua kutoka nje ya kapu.

Nilikuwa najua Watanzania wengi ni wajinga lakini sikujua kuwa ni wengi kwa kiasi hichi.

Kitendo cha Watanzania wapenda mabadiliko kuanza kuwategea sikio la matumaini Gwajima na Polepole kilitosha kujua watu wengi katika nchi hii ni matahira.

Zaidi ya 75% ni matahira.

Mtu aliyekukandamiza kwa miaka kadhaa Leo hii unamuunga mkono 😭😭😭.

Gwajima alichangia kwa % kubwa kuvuruga upinzani 2015 ambapo upinzani walipata penalt dk ya 1.

2011-2015 wapinzani waliimba CCM na Lowasa ni mafisadi, mpaka watoto wadogo walijua kuwa Lowassa ni fisadi papa , CCM ni majangiri.

Ghafla Gwajima kamleta Lowasa CHADEMA, ahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 Polepole ndo usiseme kabisa.

Miaka 5 CHADEMA hawakupata ruhusa kueleza jambo lolote kwa wananchi. Hata vikao vya ndani walitumiwa polisi, kipindi hicho Polepole na Magufuli wakijenga chama na kujijenga wao wenyewe.

Nilipoona Wapinzani wanawaunga mkono hawa matapeli wa kiasiasa sitaki kabisa kusikia habari za upinzani.
Lissu atoke akaishi ULAYA kwa wenye akili wenzake.

Mwisho: Watanzania acheni kukwepa kodi, Samia anataka atujengee nyumba watumishi wote wa umma. Lipeni kodi tafadhali
 
Samia fisadi na katili, ananunua saa za gharama. Watoto wanaendesha magari ya bei ya juu na hana huruma na kina mama wanaolala sakafuni wakati wa kujifungua. Mungu hadhihakiwi, kuna siku ataonyesha utukufu wake na nyie mtamkana huyu huyu Samia.
Angekuwa hana huruma na wanaolala chini asingejenga zahanati nchi nzima, punguza chuki za kipuuzi mkuu.
 
Mimi baada ya kuona wajinga ni wengi sana wamejaa kwenye kapu nikaamua kutoka nje ya kapu.

Nilikuwa najua Watanzania wengi ni wajinga lakini sikujua kuwa ni wengi kwa kiasi hichi.

Kitendo cha Watanzania wapenda mabadiliko kuanza kuwategea sikio la matumaini Gwajima na Polepole kilitosha kujua watu wengi katika nchi hii ni matahira.

Zaidi ya 75% ni matahira.

Mtu aliyekukandamiza kwa miaka kadhaa Leo hii unamuunga mkono 😭😭😭.

Gwajima alichangia kwa % kubwa kuvuruga upinzani 2015 ambapo upinzani walipata penalt dk ya 1.

2011-2015 wapinzani waliimba CCM na Lowasa ni mafisadi, mpaka watoto wadogo walijua kuwa Lowassa ni fisadi papa , CCM ni majangiri.

Ghafla Gwajima kamleta Lowasa CHADEMA, ahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 Polepole ndo usiseme kabisa.

Miaka 5 CHADEMA hawakupata ruhusa kueleza jambo lolote kwa wananchi. Hata vikao vya ndani walitumiwa polisi, kipindi hicho Polepole na Magufuli wakijenga chama na kujijenga wao wenyewe.

Nilipoona Wapinzani wanawaunga mkono hawa matapeli wa kiasiasa sitaki kabisa kusikia habari za upinzani.
Lissu atoke akaishi ULAYA kwa wenye akili wenzake.

Mwisho: Watanzania acheni kukwepa kodi, Samia anataka atujengee nyumba watumishi wote wa umma. Lipeni kodi tafadhali

Wewe ndiye mjinga kuliko hao unaodhania ni wajinga.

Kama Polepole na Gwajima walitukandamiza, what about Samia and Kikwete?
 
Mimi baada ya kuona wajinga ni wengi sana wamejaa kwenye kapu nikaamua kutoka nje ya kapu.

Nilikuwa najua Watanzania wengi ni wajinga lakini sikujua kuwa ni wengi kwa kiasi hichi.

Kitendo cha Watanzania wapenda mabadiliko kuanza kuwategea sikio la matumaini Gwajima na Polepole kilitosha kujua watu wengi katika nchi hii ni matahira.

Zaidi ya 75% ni matahira.

Mtu aliyekukandamiza kwa miaka kadhaa Leo hii unamuunga mkono 😭😭😭.

Gwajima alichangia kwa % kubwa kuvuruga upinzani 2015 ambapo upinzani walipata penalt dk ya 1.

2011-2015 wapinzani waliimba CCM na Lowasa ni mafisadi, mpaka watoto wadogo walijua kuwa Lowassa ni fisadi papa , CCM ni majangiri.

Ghafla Gwajima kamleta Lowasa CHADEMA, ahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 Polepole ndo usiseme kabisa.

Miaka 5 CHADEMA hawakupata ruhusa kueleza jambo lolote kwa wananchi. Hata vikao vya ndani walitumiwa polisi, kipindi hicho Polepole na Magufuli wakijenga chama na kujijenga wao wenyewe.

Nilipoona Wapinzani wanawaunga mkono hawa matapeli wa kiasiasa sitaki kabisa kusikia habari za upinzani.
Lissu atoke akaishi ULAYA kwa wenye akili wenzake.

Mwisho: Watanzania acheni kukwepa kodi, Samia anataka atujengee nyumba watumishi wote wa umma. Lipeni kodi tafadhali

GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
 
Back
Top Bottom