Watanzania wanasubiri Polepole na Gwajima wawakomboe

Watanzania wanasubiri Polepole na Gwajima wawakomboe

Kweli maisha yanaenda kasi sana...Tanzania imekuwa taifa la raia wake kuikimbia nchi. Hizi story za raia wakosoaji kukimbia nchi zao tulikuwa tunazisikia kwa akina Kagame na zamani kwa madikteta kama Idd Amini, Gaddafi. issues tulizokuwa tunafundishwa darasani na walimu kutolea mifano ndio tunazishuhudia live kwa Sasa, akina polepole, maria, gwajima n.k wanakimbia taifa lao.
Wakosoaji walianza kudhalilishwa kuanzia Utawala wa Awamu ya Nne 😳 !
Baadaye mambo yakashika kasi zaidi. !
Yakafanywa maboresho 😳🙄 !
 
Mimi baada ya kuona wajinga ni wengi sana wamejaa kwenye kapu nikaamua kutoka nje ya kapu.

Nilikuwa najua Watanzania wengi ni wajinga lakini sikujua kuwa ni wengi kwa kiasi hichi.

Kitendo cha Watanzania wapenda mabadiliko kuanza kuwategea sikio la matumaini Gwajima na Polepole kilitosha kujua watu wengi katika nchi hii ni matahira.

Zaidi ya 75% ni matahira.

Mtu aliyekukandamiza kwa miaka kadhaa Leo hii unamuunga mkono 😭😭😭.

Gwajima alichangia kwa % kubwa kuvuruga upinzani 2015 ambapo upinzani walipata penalt dk ya 1.

2011-2015 wapinzani waliimba CCM na Lowasa ni mafisadi, mpaka watoto wadogo walijua kuwa Lowassa ni fisadi papa , CCM ni majangiri.

Ghafla Gwajima kamleta Lowasa CHADEMA, ahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 Polepole ndo usiseme kabisa.

Miaka 5 CHADEMA hawakupata ruhusa kueleza jambo lolote kwa wananchi. Hata vikao vya ndani walitumiwa polisi, kipindi hicho Polepole na Magufuli wakijenga chama na kujijenga wao wenyewe.

Nilipoona Wapinzani wanawaunga mkono hawa matapeli wa kiasiasa sitaki kabisa kusikia habari za upinzani.
Lissu atoke akaishi ULAYA kwa wenye akili wenzake.

Mwisho: Watanzania acheni kukwepa kodi, Samia anataka atujengee nyumba watumishi wote wa umma. Lipeni kodi tafadhali
Nyie wagalatia siku 10 bado tuu za Gwajima hazijaisha?
 
Back
Top Bottom