Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
Hivi mtu mwenye akili timamu anawezaje kuipa barabara jina la Mwahi kibaki? Jamani hii nchi inaelekea wapi wandugu zangu. Hii imeshatokea. Nawaomba watanzania wenzangu waendelee kuliita hii barabara Old-Bagamoyo Road. Msikubali huu upuuzi. Mwisho tutakuja kuziita barabara zetu Mungiki Road !