Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 31,370
- 31,627
Why..??? Kwa nini...???
Why..??? Kwa nini...???
Burn
Msamehe bure, vidato kidongo hafifu
hadithi za eric shigongo
Hivi yule jamaa wa Clouds FM anayetangaza kipindi cha XXL anaitwa Adam Mchimvu ni mzima wa akili kweli? Ananiboa sana kwa kujifanya anaongea Kiswahili cha mtaani mpaka anapitiliza....yaani anaboa!
mimi wananiboa sana MA-LOVER BOYS!unajua mke wangu bado mdogo sana,sasa hawa jamaa hawaishi kunisababishia stress.infact nafikiria kununua pistol JUST FOR THEM
Ingawa hutaki kwenye siasa lakini Mimi wanaoniboa ni magu na bashiteWakati fulani marekani Robin Givens aliwahi kutajwa kuwa ndo the most hated woman in America, enzi hizo watu walikuwa wanamuona ndo chanzo cha Mike Tyson kuchanganyikiwa, hasa aliposema aliolewa na Tyson for money.
Any way hivi leo kwa hapa Tanzania ni nani ambaye tunaweza kusema ndo mtanzania anaetuboa zaidi? Tukiacha wanasiasa hasa wa CCM.
Kwenye upande wa burudani na jamii ni watanzania gani kama wapo unafikiri wana kuboa kupita kiasi?
Kuna tofauti ya mwanamziki na mwimbajihata mwanafunzi wa std 1 analojibu! hata waimba kwaya kanisani ni wanamuziki!