europe yote...watanzania wana compllicate wenyewe elimu yao.
taratibu mazee,usilete zileee za o-level/form six tulikuwa tunaongopeana eti elimu ya bongo form six sawa na ya chuo kikuu ulaya,mweh!
babu kuna shule zinatoa dozi mpaka utajuta kwanini uli enroll
Unaruhusiwa lakini masaa ya kazi yanakuwa limited, US ni 20 hrs instead of 40 hrs per week.Mkuu;kwani visa mlizopewa haziruhusu kupiga box part time?
ugumu wa kitu una depend na kichwa chako mwenyewe
Waende wakakope pesa ubalozini pale Berlin, harafu waagize pesa zao zitumwe ubalozini na balozi kupata fursa ya kukata kiasi cha fedha walichowakopesha na salio ndo watapata.
Regards
Poleni sana.
Nina ndugu yangu anafanya PhD kwa mpango huo pia mbona hajatwambia?
Mimi sina hizo degree lakini naweza kusema kwa ujasiri HAMJUI kujenga hoja. Lugha ya watu mmetumia huku makosa sarufi na muundo mengi tu.
Ni wazi hii barua imendikwa na mtu mmoja, unajaribu kutumia misamiati ya kwenye `ripoti`.
Ndani ya miaka miwili mtarudi na PhD zenu kwa ujengaji hoja duni kama huu....dalili ya mvua....
Samahani nia sio kuwakwaza lakini
Wanafunzi wengi wa phd wakiwa ulaya wanadharau kazi za box wakidhani wao ni high class hasa watanzania.....haiwezekani mtu ukae hapo nchini mwaka mzima au miezi sita ushindwe hata kutafuta kazi ya gazeti ya kufanya jumapili au siku za katikati hata tatu tu.......ndo hvo mvumilie tu hadi serikali itakapowasikiliza!! poleni
mimi ninavyojua elimu ya ulaya ni rahisi mara 100 kuliko ya Tanzania ..ulaya kila kitu kipo simple and clear..huyu jamaa labda anafikiri kuwa wote humu JF ni wanafunzi ama wote tupo tz
europe yote...watanzania wana compllicate wenyewe elimu yao.
Mkuu umenichekesha kweli kweli. Ni Ulaya ipi unayosema shule ni rahisi mara 100 ya Tanzania? Au unazungumzia Ulaya iliyopo Morogoro mkuu?mimi ninavyojua elimu ya ulaya ni rahisi mara 100 kuliko ya Tanzania ..ulaya kila kitu kipo simple and clear..huyu jamaa labda anafikiri kuwa wote humu JF ni wanafunzi ama wote tupo tz
poleni sana wasomi wetu
Poleni sana, hiyo ndiyo nchi ya JK, aka Dr. (PhD)X3 JK
wacha kuwapa pole walio dar wasiolipwa ukawape pole wa nje ya nchinani kawatuma waende huko kwa ni phd udsm muzmbe azipowaachen wafu wazike wafu wao jamani