Watanzania wanamjua Dr. Munga?

zipo tuhuma za matumizi Mabaya ya Nafasi yake yeye na mkewe; kumkingia kifua katibu mkuu wa dayosisi yake mwenye tuhuma mbali mbali.

zipo tuhuma kumhusu yeye; zinazohusiana na kuvunja katiba ya dayosisi kwa kubadili jina la dayosisi bila kufuata utaratibu. kiufupi tuhuma ni nyingi na ingempasa kusafisha dayosisi yake kwanza kwani malalamiko ni mengi na ufisadi upo wa kutisha
 

Unajua maana ya tuhuma wewe mburula. Hata Magufuli anatuhumiwa kumpa hawala nyumba ya serikali
 
Siyo chuo kikubwa sana, labda km wameongeza Yale Majengo nikifika hapo.2010/11 padogo sana.
 
Lete sasa ushahidi nasio majungu
Mimi mkatoliki wakibosho mango kwa askofu Mkuu Amani now Arusha
Sasa tuo vizibitisho
Achana ukkt
 
Dr. Munga atuambie kwanini anafungulia mashtaka waumini wake na kudai fidia ya mabilioni.
 
Hivi viongozi wa dini wao wanapaswa kukosolewa na Nani??
 
Duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…