Watanzania wanajiunga na Al shabaab..10 wakamatwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania wanajiunga na Al shabaab..10 wakamatwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, Nov 17, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,407
  Trophy Points: 280
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: contentheading"]Tanzanian Al Shabaab under arrest in Somalia [/TD]
  [TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] Send to a friend [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: createdate"] Wednesday, 16 November 2011 22:55 [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD] digg

  [​IMG]The group is an off-shoot of the Islamic Courts Union in Somalia, which splintered into several smaller organisations after its removal from power by Ethiopian forces in 2006. It describes itself as waging jihad against ‘enemies of Islam', and is engaged in combat against the Somali Transitional Federal Government (TFG) and the African Union Mission to Somalia (Amisom) and now Kenya army which has entered Somalia to hum the group members.

  By Mkinga Mkinga
  The Citizen Reporter
  Dar es Salaam. Ten Tanzanians have been arrested in Mogadishu fighting alongside Al Shabaab Muslim militants, Home Affairs minister Shamsi Vuai Nahodha said in Dar es Salaam yesterday.This is the first official public confirmation linking Tanzanian nationals to the terror group, which is fighting both the Somali transitional government and an African Union peacekeeping force. Three weeks ago, Kenya also sent in its army to fight the militants after the abduction of several people on Kenyan soil blamed on Al Shabaab.

  Mr Nahodha told journalists that security agencies were investigating reports that a number of businessmen in the country, including some of Somali origin, have been recruiting Tanzanian youths on behalf of the group.

  "We have information to the effect that Al Shabaab recruiting agents are working in the country. We have information on people trying to convince Tanzanian youths to join Al Shabaab," he said.The minister also linked the development to the massive illegal immigration of people from the Horn of Africa travelling southward, saying some of the illegal immigrants might have connections with the terror group.

  Mr Nahodha said, however, that the government had taken a number of measures in response to the security threat. "The various security organs are working closely to counter the threat," he said.He added that a team of security experts had been dispatched to Mogadishu to question the Tanzanians who were seized while allegedly fighting alongside Al Shabaab."Our officers have already interrogated them and we have taken their finger prints for further identification…the suspects are still being held in Somalia."

  Mr Nahodha said the government was also in contact with other countries and international agencies involved in the fight against terrorism as part of wider efforts to protect Tanzania."The fact that there are people in the country who have been cooperating with and working for the group has compromised our security. We are taking nothing for granted."
  He urged Tanzanians to be patriotic and distance themselves from Al Shabaab and its activities and to report any person or activity they suspect may be linked to the group.

  Mr Nahodha asked drivers of public transport vehicles, especially taxis, to be wary of strangers who ask them about important places such as embassies and other sensitive installations.He said owners of guest houses should also be careful and take all important particulars of people who check into the establishments to make it easy to trace them if the need arose.

  The minister said although Al Shabaab had not carried out an attack on Tanzanian soil, attacks in neighbouring Kenya and Uganda should serve as a lesson to Tanzanians. Over 70 people were killed in twin bomb explosions in Kampala on July 10, last year. Al Shabaab quickly claimed responsibility for the attacks.

  There has been a string of kidnappings of foreign tourists on Kenya's coast in recent months blamed on the group. This prompted Kenya to launch a military operation against the militants inside Somalia.

  In its global ranking index of countries most at risk from terrorist attacks, Maplecroft of the UK warns that Tanzania was among countries facing an imminent danger from terrorist attacks. According to its latest Terrorism Risk Index, which covers 2010-2011, all East African Community (EAC) member states face the same terror risk level as Uganda, which is placed among high-risk countries in the world.

  Meanwhile, Mr Nahodha said eight immigration officials were being investigated in connection with the wave of illegal immigrants who have entered the country in recent months.The minister told reporters that he warned the officers after he was informed of their conduct, which, he added, put the country's security at risk.

  "I have their names in my briefcase here… I have already issued them with warning letters. We are monitoring them and if they are not going to change in the next one month, we will act against them."

  He said the government recently deported two Pakistani nationals who had entered the country illegally through the assistance of one of the eight officers."The government's move against the Pakistani nationals shows that we know what is going on," he said
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. Mwita Matteo

  Mwita Matteo JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: May 16, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Msiwambia watu wapende nchi yao ila wafanya waipende nchi yao na mtapunguza wimbi la vijana kujiunga na Al-Shabab, lasivyo mkiendelea na sera mlizo nazo sasa vijana wengi watajiona hawana cha kupoteza ni bora wakafie vitani kuliko kukaa na kuanza kuchanganyikiwa na hali ngumu ya maisha.
   
 3. s

  sawabho JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Hawa A-Shaabab wanapata wapi silaha? Itakapojulikana wanakopata silaha, itasidia kufahamu hao Watazania wamepelekwa na nani huko.
   
 4. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,806
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  ukiangalia wasomali sasa wanazagaa pale k koo eti wanauza computer,na vijana hawa tulionao wanazagaa mitaani unafikiri akipewa laki 5 aambiwe aende front al shabaab atakataa?tukumbuke pia hawa jamaa hela wanazopata kwa ransom baada ya kuteka meli wanazo.ile kuuza computer pale ni zuga tu wale ndo agent wa al shabaab ambao tunatakiwa tuanze kuwakimbiza badala yake tunawachekea.uzuri hawachelewi kugeuza kibao siku wakianza kuangusha mabomu pale congo na uhuru ndo tutatia akili
  halafu mwita acha kunywa matap tap unauz kishenzi
   
 5. b

  buswe Member

  #5
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hili linahusu usalama wetu, tuungane sote kulishughulikia.
   
 6. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hii njaa itatupeleka pabaya... First David Cameron, now this... I wonder what is next?
   
 7. crome20

  crome20 JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 827
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Hata humu jamvin Alishabab kibao, wamekuwa brain washed na kisingizio cha kutetea dini. NENO linasema " watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" Unakurupuka bila kupima ndio yaliyowakuta watanzania wajinga hao.
   
 8. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,912
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 160
  Nahodha the most boring Minister in the Boring Kikwete's Cabinet,
  Eti tunayo majina yao na kikubwa kilichofanywa ni kuwapa onyo.
  Sasa huyo mmoja ambaye hadi ushahidi mnao kuwa aliwasaidia Pakistanis mmemfanyia nini?
  Halafu ndiyo mnatuambia sisi tuwe makini dhidi ya hao wageni wakati ninyi ndiyo mnawapa ruhusa ya kuingia nchini?
  Huo uzalendo mnaotumia nguvu kuuhubiri ni kwa nini msianze ninyi kuwa nao ili na sisi wananchi tuige kutoka kwenu??
  Ndiyo yale yale ya Kikwete eti majina ninayo na nawaomba mjirekebishe,
  mbona wananchi wenu wakifanya maandamano fasta mna act kuwafanyia fujo na kuwaweka ndani viongozi wao???
  Kwa staili hii mnategemea kweli Mtanzania asikie kuna mpango unafanyika ya kuishambulia Ikulu atawaambia?
  "when you start treating people like people, they become people"

  Hii Serikali inakera sana Aisee........................................
   
 9. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 818
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Maisha yalivyo magumu , umfuate Mbongo aliye choka, unamwambia unampeleka nje ya nchi kupigana unadhani atakataa? tena Mtz asivyo penda kuka aBongo hata umuambia Somalia ta enda tuu ,amana najua nikutoka nje ya Bongo
   
 10. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #10
  Nov 18, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Dah kweli hii nchi inaendeshwa kwa nidhani ya uoga. nilitegemea kusoma walitumiliwa kibaruani kumbe ni onyo tuu, halafu wanaangalia kwa pindi cha mwezi mmoja...why all that....ameingiza wageni kinyemela ushahidi upo....fukuza

   
 11. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #11
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,142
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  umesahau ya rais wao kuwaomba MAFISADI kurudisha pesa za EPA?
  Umesahau majina ya wauza unga rais aliyanyia kazi gani?
  mtu mwovu huchagu waovu wenzake washiriki katika kufanya ouvu
   
 12. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #12
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  This this critical issue on security arena,kusema unawafahamu na umewapa onyo wakati watz wameonekana na kukamatwa somalia, ni sawa na kutumia kamasi kufikiri,watu hao wanaowafundisha na kuwasafirisha vijana wawe uprehended hadi hapo uchunguzi utakapobaini kuwa wana hatia ama hakuna hii iendane na kuzuia akaunti zao zote.
   
Loading...